GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa MUNGU, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. ILA AOMBE KWA IMANI, PASIPO SHAKA YEYOTE; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa BWANA. Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote.”
Kwenye maombi Kuna Imani ya kuomba na kuna Imani ya kupokea.
 
Nina uhakika nyumbu wa lissu waliojaa humu jf wameshakimbilia vyooni saa hz kujiswafi haja zao kubwa zilizowatoka mara baada ya kukisikia jina hili lililoshindikana....... Samia Suluhu Hassan!!!
Hapa kuna mzazi anasema ana mtoto. Inawezekana kuna mtoto wa watu anasema hapa ana mme au mwenza wa maisha na kunawezekana kuna binti au mvulana anamuita huyu jamaa Baba.

Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Hapa kuna mzazi anasema ana mtoto. Inawezekana kuna mtoto wa watu anasema hapa ana mme au mwenza wa maisha na kunawezekana kuna binti au mvulana anamuita huyu jamaa Baba.

Mungu atusaidie kwa kweli.
Mmeshachelewa, ilitakiwa muombe Mungu awasaidie kabla hamjawa wanafiki wa kutupwa....kwa Sasa tuna Imani Mungu ataendelea kumbariki na kumsaidia mama yetu huyu, Samia Suluhu Hassan, kuendelea kutawala kwa amani katikati ya chuki hii ya kikanda, kikabila na kidini mkiyoamua kuotangaza maadui zake.
 
Naomba kujua ukomo wa rais kabla ya kwenda kwenye uchaguzi ni muda gan mfano pale wanapoenda kuchukua fomu ya kugombea si walitakiwa kupewa treatment sawa
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/15yCfRLbh6/
 
..kile atakachoongea kitajibiwa na kuchambuliwa na vyama vya upinzani pamoja na wanaharakati.
 
Nothing New
 
..makao makuu ya nchi si DODOMA?

..kwanini anaongea na taifa toka DSM, na kupitia wazee wa mji huo?

..au mkoa wa Dodoma hauna watu wenye hadhi ya kuitwa wazee?
 
Atasisitiza amani ila huwezi kusikia neno "haki" likitamkwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…