GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kesho ni kuwananga na kuwasemgenya kuanzia Lissu hadi Wachungaji na Mapadri bila kusahau mashehe na sisi wavimba macho tusiomkubali.

Kesho tutapokea vichambo tu toka kwa Mama wa Kizanzibari wana JF wote kasoro misukule yake Lucas mwashamba , ChoiceVariable na Dr wa Manesi
 
Hakuna jipya,ni kupotezea muda watu,hao wazee wapwani njaa kalu wamefuata bahasha wakale ubwabwa wa nazi na gahawa.

Naona mwenyekiti taifa wa chama dola kongwe tawala na rais wa jamhuri ya Muungano ameona ni busara kujitokeza yeye mwenyewe badala ya kuwaachia kina Amos Makalla, Steve Nyerere, Jimmy Mafufu na wengine kukitetea chama na mambo yake yote ya INEC, NIDA n.k

TOKA MAKTABA :

JIMMY MAFUFU AKIKITETEA CHAMA DHIDI YA MADAI YA POLEPOLE
 
Hamna wazee wamaana hapo wote ni waswahili wa pwani na wanaccm kindakindaki..
Kiufupi wengi wao ni MAAMUMA kwenye mambo mtambuka kama uchumi, uongozi na rasilimali za nchi.
 
Nina uhakika nyumbu wa lissu waliojaa humu jf wameshakimbilia vyooni saa hz kujiswafi haja zao kubwa zilizowatoka mara baada ya kukisikia jina hili lililoshindikana....... Samia Suluhu Hassan!!!
Kama wewe ni mwanaume tafadhali kimbia kwa mwana saikolojia aliye karibu...
Hatuhitaji mwanaumke mpya nchini😭😭😭😭
 
Nina uhakika nyumbu wa lissu waliojaa humu jf wameshakimbilia vyooni saa hz kujiswafi haja zao kubwa zilizowatoka mara baada ya kukisikia jina hili lililoshindikana....... Samia Suluhu Hassan!!!
Huyo anamuogopa Lisu kuliko kifo, muulize tu taratibu atakwambia.
 
Kama wazee wenyewe ndio hao wa daslamu!... hakuna kitu hapo...!

Hata wazee watakaosimama kuongea tayari wameshapangwa! Na kupewa maelekezo ya nini cha kuongea!

NI KUSIFU NA KUABUDU! HAKUNA JIPYA!
 
Sisi tunachojua deni ni Trillion 157,na hakuna maelezo ya kutufanya kutojua kuwa nchi inaenda na negative account.
 
I'm sorry lakini kuwa nyumbu siwezi kabisa kabisa......naona nadhalilika mnooo. Yaani Nina akili zangu halafu mjinga mmoja anipeleke anavyotaka yeye?!!! Haiwezekani.

Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kesho anaenda kuwahakikishiA wazee kuwa taifa lao lipo salama kabisa mikononi mwake kama jemedari mkuu kama walivyoliacha.
 
Loan slavery is eating us dearly 🙏
 
Mchawi tu huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…