Tena Wazee Wenyewe Anaongea Nawo ni Hawa kina Mzee Matimbwa Njaa Kali wa Daresallam na Awa Wavaa Kobazi Awana impact Yoyote Kwa NCHI KAZI Yao kunywa Kahawa na tende na kucheza Bao vibarazani..makao makuu ya nchi si DODOMA?
..kwanini anaongea na taifa toka DSM, na kupitia wazee wa mji huo?
..au mkoa wa Dodoma hauna watu wenye hadhi ya kuitwa wazee?
Kunauwezekano mkubwa sana hiyo ikawa platform sahihi.Tunaomba atangaze kuachia ngazi
Tena Wazee Wenyewe Anaongea Nawo ni Hawa kina Mzee Matimbwa Njaa Kali wa Daresallam na Awa Wavaa Kobazi Awana impact Yoyote Kwa NCHI KAZI Yao kunywa Kahawa na tende na kucheza Bao vibarazani
Na mzee Humphrey atakuwepo?
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.
Unapigwa mwingi...!Hana jipya
Wakati wa Nyerere akiongea na wazee wa Dar es salaam ni Imani gani walikuwa wengi kwenye mkutano.sema ataongea na waislamu.....hakuna watanzania hapo. Note this post
Kama kaamua kutema bungo itakuwa ni habari njema ila kama ngonjera za siku zote akae kimya tu.
Hana jipyaKama kaamua kutema bungo itakuwa ni habari njema ila kama ngonjera za siku zote akae kimya tu.
Kuna kuongea nao na kuna kuwahutubia na kuna wazee wa vyama vyote na kuna wazee wa ccm, na akiwa nao aruhusu hoja pasipo kuchagua wazee chawa wa ccm ili wazee wenye weledi hekima wapate fursa za kunwambia ukweli aache kumtesa Lisu GerezaniRAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo hilo leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=lGoDPZUMinEKihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa mojawapo kuongelea mambo mazito nchini Tanzania na hivi hali ya kisiasa ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu kuna mambo na maswali mengi yanayohitaji kupatiwa mwongozo
Ikichukuliwa Wazee wameona mengi na wana uzoefu mkubwa. Labda ndiyo maana rais anataka kuzungumza nao ili mamlaka zione wazee wanasema nini na wataiambia mamlaka nini.
Ni utamaduni, toka tumepata Uhuru Viongozi wetu wamekuwa wakikaa na kuongea na Wazee.
Picha maktaba za 7 Mei 2021
View attachment 3453817
Rais Samia Hassan ktk picha maktaba ya mwaka 2021
View attachment 3453818
Akialika wazee chawa wa ccm tu hicho kikao kitakuwa batiliHana jipya
Akitaka watu wamsikilize amwachie Lisu mara moja na kuwapa chadema uhuru wa kufanya siasaHata aseme anaongea na mizimu sidhani kama Kuna mtanzania mwenye akili ana muda wa kumsikiliza
Taarabu tupu una maana kesho ni Tanasha la TaarabuKesho ni kuwananga na kuwasemgenya kuanzia Lissu hadi Wachungaji na Mapadri bila kusahau mashehe na sisi wavimba macho tusiomkubali.
Kesho tutapokea vichambo tu toka kwa Mama wa Kizanzibari wana JF wote kasoro misukule yake Lucas mwashamba , ChoiceVariable na Dr wa Manesi
Kikao kitapimwa kulingana na waalikwa, endopo kuna wale mashehe ubwabwa chawa ccm kwa wingi hicho kikao kitakuwa batili na kukataliwa mazimaTena Wazee Wenyewe Anaongea Nawo ni Hawa kina Mzee Matimbwa Njaa Kali wa Daresallam na Awa Wavaa Kobazi Awana impact Yoyote Kwa NCHI KAZI Yao kunywa Kahawa na tende na kucheza Bao vibarazani
Taarabu itatumbuizaKijiwe cha mipasho
Unadhani watakua watu gani ndugu yangu? Ni hao hao tuAkialika wazee chawa wa ccm tu hicho kikao kitakuwa batili
Akitaka watanzania wamwelewe wampendee amwachie Lisu mara moja na kuwapa uhuru wa kufanya siasaAtakuja na ile aliyoanza nayo juzi. NENDENI MKATENDE HAKI.
Akialika wazee makanjanja njaa njaa chawa chawa hicho kikao kitakuwa feki batiliUnadhani watakua watu gani ndugu yangu? Ni hao hao tu