Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Hii tetesi itachukua muda gani kuwa Breaking news na kishapo News alert?
Tusikawie sana
 
Hiyo ni ndoto, huyo dingi hana uwezo wa kuongoza nchi na tunajua ni udini unasumbua watu na bado hadi malori yao yapaki. Mama mitano tena ili SGR iishe tupige hatua , ni Bimkubwa tu atakamilisha miradi ya Magufuli hakuna mwingine. Mzalendo ni Nyerere tu wengine sote ni wachumia tumbo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…