Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Kwa hiyo huyu atamaliza Ajali za kila siku?

Watu 37 wamekufa jana utafikiria kuku wala hakuna anaejali

Rushwa wala hawaiongelei, nani wa kuifuta
Unadhirifu na ufujaji wa Mali ya Umma wa kuzuia nani?

Acheni ngonjera ongeeni facts kama nchi

Mambo yanayotuweka kwenye list ya umasikini hakuna anaeongelea au tumekubali Maisha yaende tu
 
Matacall yao
 
Mwaka 2002,na alishinda Dar na ilikuwa agombee Taifa. Nilikuwa form two .Sasa wakasema Nchimbi kamfanyia ubaya ,maana Nchimbi hakupenda vijana walioonyesha kumpelekea moto,hata Amina Chifupa pia.Alionekana kuleta unpinzani kwa Nchimbi UV CCM.

unakumbuka hii post yako? Mwaka 2011 ulisema humjui Ipyana, inawezeka vipi umjuwe mwaka 2001?
 
Swali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?

Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.

Muda utasema.
Mnatamani sana Tanzania iingie kwenye utawala wa kijeshi

Jiandaeni kuzeeka bila kuona hiyo situation
 
Waitishe maandamano one last time, watu wasipotoka kila mtu aendelee na shughuli zake kwakweli. Maana ninkujichosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…