Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

Kina nani hao ambao hata kuongea hadharani hawawezi? Wenzetu Kenya tu hapo Waziri akitolewa Kwa kupishana Misimamo na Mkuu wa nchi basi huanza kueleza madhaifu ya iyo serikali, Bongo ndio kwanza watu Kwa Ndugai wanaanza kuomba misamaha Nimekosea Mimi nisamehewe na uyo ni mkuu wa mhimili
 
Wacha wapasuane. Kikubwa nchi iwe huru dhidi ya wakoloni weusi.
20250418_151222.jpg
 
Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza ..

Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra wahunu wamle kichwa.


1962 Kuna watu kwenye serikali ya John Kennedy hawakukubali baadhi ya mienendo na misimamo yake, pamoja na kuwa na Secret service wahuni walimla kichwa

Rais Samia kuwa makini wapinzani wako wanakujua in and out. Kama hawakutaki kaa kando. Ukiendelea kungangania Hawa watu watakufanya vibaya au kukuhujumu Ili ukwame


Mto wa Mbu
Illinois -USA
Ripoti Kituo chochote cha Polisi uwaambie umewaza upumbavu
 
Back
Top Bottom