unavaa magwanda af unakua na bashasha, hii imekaaje
 
kumbe kilomita zimeenda sana na ushungi unafichaga tusivyoona, nyama za shingo hazina bashasha hata kidogo
 
Unafahamu maana ya bashasha mjomba?
taaluma yangu ya tasfiri inaniambia bashasha ni overjoy kwa kiingereza na kwa kiswahili ni furaha iliyipotiliza (kuu)


mimi nimezoea kuwaona wakiwa watu serious (wamiliki faafu wa gwanda) ndio maana nimeuliza hii imekaaje?

haya jibu swali langu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…