Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania
General never wrong 1st principal..
If She/he is wrong,refer principle #1.... principle #2.

IMG-20211115-WA0014.jpeg
 
Anarudisha Mabeberu..... Kuna mwili huko uliko utakuwa umejigeuza kwa maneno haya.
 
mataifa yafaidi huku wananchi tunaumia na

tozo
bei za vifurushi
ukosefu wa ajira
mafao kusubirishwa
bidhaa sokoni zimepanda
umeme unakatika ovyo
maji shida
kuna faida gani sasa kuifungua nchi kimataifa
 
mataifa yafaidi huku wananchi tunaumia na

tozo
bei za vifurushi
ukosefu wa ajira
mafao kusubirishwa
bidhaa sokoni zimepanda
umeme unakatika ovyo
maji shida
kuna faida gani sasa kuifungua nchi kimataifa
Mvua hazinyeshi.....ukame....changamoto ya umeme na maji....
 
Waandamanaji na mabango yao hadi hapa wapo wamenyanyua mabango yao ya tozo kutuharibi uzi mwanana wa kiongozi wetu mpendwa akiwa ndani ya gwanda za jeshi
 
Kwa kuwa ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, vipi akienda kule jeshi la polisi na jeshi la magereza anaweza kuvaa gwanda zao kwenye shughuli zao? Maana tunaona wanavaa tu gwanda za jeshi hili kubwa na lenye shughuli pevu za kutulinda, au kule ni majeshi madogo hawezi kuvaa gwanda zao? Ila hizi gwanda zinapendwa sana hata na raia
 
IMG_20211116_103942_644.jpg

Mama anapiga pamba sana,jana ndio alionekana bila kuwa na kitambaa kikubwa kichwani (ushungi). Kuonekana huko kumeoneza urembo wake halisi, binafsi alipendeza sana.

Napendekeza,sio lazma avae ushungi mara zote,anaficha uzuri wake kwenye shungi, tunaona hata uarabuni kwenyewe hawazingatii sana.
 
Naona kama wamejipanga kinyume. Kawaida askari wanapokuwa wamevaa kijeshi, Senior anatakiwa kukaa upande wa kulia!
 
Nilikuwa nikishangazwa sana na ushangiliaji kila rais anapopita sehemu!

Kupitia comments za thread hii leo ndiyo nimejua siri iliyokuwa nyuma ya ushangiliaji huo!

Kumbe watu hawashangilii sera wala mikakati ya serikali, watu wanafurahishwa na urembo na muonekano wa mheshimiwa, wanaishia tu kusema: mama mama!

Dah!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom