Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Kwan anajenga kwa pesa za mama yake au pesa za urisi, uwo ni wajubu wake na izo ni kodi zetu

Na kujenga ndo sababu ya yeye kugombea na kuuwa watu ili awe raisi so ni wajibu nani jukumu lake kujenga apende asipende
 
Mwenye ana picha ya stendi kuu ya mabasi kigoma naomba anitumie niipost ili wakati tunampongeza samia twende sawia
 
Back
Top Bottom