Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/p/DWbKTR8CKAT/?img_index=1&igsh=MXMyemJqNjh2cG5jcQ==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.
View attachment 3563687

Stendi ya kariakoo IPO wapi pale?
Jibu kama mtu mwenye Akili timamu na siyo chawa
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/p/DWbKTR8CKAT/?img_index=1&igsh=MXMyemJqNjh2cG5jcQ==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.
View attachment 3563687

Usisahau utofauti wake mwingine na waliotangulia kuwa kaua watu, kapoteza watu zaidi ya wote.
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/p/DWbKTR8CKAT/?img_index=1&igsh=MXMyemJqNjh2cG5jcQ==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.
View attachment 3563687

Mh
 
Unataka tupime utendaji kazi wake.? Orodhesha hizo stendi zilizoanza kujengwa kipindi chake. Ngapi zimekamilika na kwa kiwango na ubora gani. Ngapi alizikuta na ameziendeleza zimesha kamilika kwa kiwango na ubora gani. Taja mikoa na wilaya zilizopo hzo stendi. Taja idadi ya hizo stendi kuanza muda wa kuanza kujengwa na mpaka sasa hazijakamilika kwa asilimia 100.
 
RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN nisawa na Mti wenye matunda kupigwa mawe hakukosekani!!

Leo kuna Magenge yanaishi kwa kupewa pesa ili yarushe mawe kwenye mti wa matunda!!

Kwaiyo yenyewe nayo yananufaika kwa uwepo wa Rais Dk Samia inapendeza mjini mipango!!

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN anawajibu kwa kupiga kazi zilizo shindwa na Marais wengi wakiume!!!

Rais Dk Samia anatufundisha namna nzuri yakukusanya kodi kwa Wananchi kwa injia rafiki yenye kupendwa na walipakodi

leo walipa kodi wamevunja record zote ktk namna ya kushangaza kabisa!! Ongezeko la Trilioni 20✅️

Kwa mara ya kwanza ktk Maisha yangu nilimpigia kura RAIS Wakike kumbe ilikuwa kura ya ukombozi kwenye sekta nyingi za kitaifa leo ninasababu ya kujivunia ile kura yangu kutoka moyoni kwangu sijakosea✍️
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/p/DWbKTR8CKAT/?img_index=1&igsh=MXMyemJqNjh2cG5jcQ==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.
View attachment 3563687

Jambo jema kuendeleza alipoachia hayati JPM kwenye ujenzi wa vituo vya mabasi vya kisasa. Tatizo lililopo ni namna pesa iliyotumika kujengea inavyoweza kurudishwa na hao wananchi watumiaji.

Visije kugeuka mapambo ya gharama kubwa.
 
Unataka tupime utendaji kazi wake.? Orodhesha hizo stendi zilizoanza kujengwa kipindi chake. Ngapi zimekamilika na kwa kiwango na ubora gani. Ngapi alizikuta na ameziendeleza zimesha kamilika kwa kiwango na ubora gani. Taja mikoa na wilaya zilizopo hzo stendi. Taja idadi ya hizo stendi kuanza muda wa kuanza kujengwa na mpaka sasa hazijakamilika kwa asilimia 100.
Mikoa yote kasoro labda 5 tuu.Picha zimejaa humu rejea
 
Back
Top Bottom