Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Akili Yako ni finyu.

Kazi inaendelea Arusha👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DWbKTR8CKAT/?img_index=1&igsh=MXMyemJqNjh2cG5jcQ==

Wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana pumbavu wewe. Kwani kama ni ujenzi wa stand ya Arusha, Samia anahusika vipi? Ina maana hao city fathers hawajui wajibu wao kuwa mji/Jiji linahitaji stand ya mabasi? Stands za mabasi ni vitu vidogo sana, na ni jukumu la mayors na madiwani. Wewe mpumbavu huelewi jinsi mambo yanavyofanyika kwa sababu unaendelea kulamba makalio ya huyo kitambi. Fala wewe. Tunachotaka kujua ni je zile "Ajira Millioni 8 za ilani ya CCM" zilitengenezwa kwa kipindi cha miaka mitano kilichopita?
 
Ndie rais wa kwanza pia Afrika mashariki kuua raia wake 10,000 ndani ya siku 3 ili kung'ang'ania kiti madarakani...

Tupunguze kidogo porojo mkuu, watu 10,000 kuuwawa si jambo kuzungumza bila fact. Vita ya Iran leo inaenda wiki ya 4 watu wameuawa karibia 3,000 na mabomu yote yale. Eti huku kwetu wauwawe watu hao 10,000 ndani ya siku 3, kwa silaha na jeshi katili la aina gani hilo, unafanya mchezo wewe. Hizo stori peleka vijiwe vya kahawa hukoo
 
Hata ungetaja wameuwawa Laki Moja Bado haibadili mada kwamba SSH ndio Rais aliyejenga stendi nyingi Kila Kona Tanzania

View: https://youtu.be/o4Asop45go8?is=f16ASUhwcdC1pnbs
 
Mbona sasahivi wanatoza tena stend zote na mnajua lakini hamzuii?
Kwa Sasa dhana ya stendi ni kitega uchumi lakini inatakiwa iwe Huduma Kwa abiria.

Hakuna logic ya kumtoza Ushuru abiria badala ya magari au vyombo vya moto ambavyo vinafaidika na stendi.
 
Wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana pumbavu wewe. Kwani kama ni ujenzi wa stand ya Arusha, Samia anahusika vipi? Ina maana hao city fathers hawajui wajibu wao kuwa mji/Jiji linahitaji stand ya mabasi? Stands za mabasi ni vitu vidogo sana, na ni jukumu la mayors na madiwani. Wewe mpumbavu huelewi jinsi mambo yanavyofanyika kwa sababu unaendelea kulamba makalio ya huyo kitambi. Fala wewe. Tunachotaka kujua ni je zile "Ajira Millioni 8 za ilani ya CCM" zilitengenezwa kwa kipindi cha miaka mitano kilichopita?
Wewe ndio mpumbavu.Wewe kama Vitu father umejenga ipi?

Mwisho bila Samia kumwaga pesa usingeiona hiyo stendi na utukane au utapike ukweli utabakia hivyo.

SSH ni game changer wa maendeleo Tanzania.

View: https://youtu.be/o4Asop45go8?is=f16ASUhwcdC1pnbs
 
Hata ungetaja wameuwawa Laki Moja Bado haibadili mada kwamba SSH ndio Rais aliyejenga stendi nyingi Kila Kona Tanzania

View: https://youtu.be/o4Asop45go8?is=f16ASUhwcdC1pnbs

Hizo stands zimekusaidia nini? Kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu kwa pesa zetu za kodi. Hizo stands zilitakiwa ziwepo tangu wakati tumepata uhuru.....Wewe unamshukuru mtu kwa kazi aliyotakiwa kufanya lakini hakutimiza. KWELI AKILI YAKO HAIPO KICHWANI. Ulisahau kuwa kwa miaka 64 TANU/CCM ilihusika kubagaza nchi??? WEWE UNAPANUA DOMO LAKO KUSIFIA UJINGA. Wanachojenga siyo kitega uchumi bali ni system ya kukusanya pesa na kuziiba, ulishasikia halmashauri zinafanya vizuri? Wewe hizo pesa unazolipwa kutetea CCM zirudishe.
 
Kajielimishe kuhusu faida za stendi.

Ujenzi unaendelea Babati Mjini

View: https://www.instagram.com/p/DWobyAVjdPs/?igsh=MWV1YjUzNWRpcjJkZQ==
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/p/DWbKTR8CKAT/?img_index=1&igsh=MXMyemJqNjh2cG5jcQ==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.
View attachment 3563687

Ukimaliza kumsifia muulize ile miili ya wapendwa wetu aliowaua Oktoba 29 atatupa lini tukazike?
 
Hizo stands zimekusaidia nini? Kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu kwa pesa zetu za kodi. Hizo stands zilitakiwa ziwepo tangu wakati tumepata uhuru.....Wewe unamshukuru mtu kwa kazi aliyotakiwa kufanya lakini hakutimiza. KWELI AKILI YAKO HAIPO KICHWANI. Ulisahau kuwa kwa miaka 64 TANU/CCM ilihusika kubagaza nchi??? WEWE UNAPANUA DOMO LAKO KUSIFIA UJINGA. Wanachojenga siyo kitega uchumi bali ni system ya kukusanya pesa na kuziiba, ulishasikia halmashauri zinafanya vizuri? Wewe hizo pesa unazolipwa kutetea CCM zirudishe.
Bora umelijibu hilo limsukule la CCM ChoiceVariable linalomlamba Samuya matako kila kukicha.
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/p/DWbKTR8CKAT/?img_index=1&igsh=MXMyemJqNjh2cG5jcQ==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.
View attachment 3563687

Wewe mpumbavu lini Samia kajenga Stendi
Hizo ni Kodi za wananchi wewe mbulula
 
Bora umelijibu hilo limsukule la CCM ChoiceVariable linalomlamba Samuya matako kila kukicha.
Hilo se nge ndivyo linavyodanfanywa huko Lumumba
Wewe mpumbavu lini Samia kajenga Stendi
Hizo ni Kodi za wananchi wewe mbulula
Hakuna rangi mtaacha kuona awamu hii.

Utatukana Hadi mdomoni uote sugu lakini kazi imeanza Namtumbo ,Samia ni mtu wa kazi kweli kweli 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DX4HwSdDDNP/?igsh=MXB0YmJ3OHFndGtmbw==
 
Back
Top Bottom