mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Nazungumzia barabara ya lami KUTOKA tamco kibaha mpaka mapingaKibaha Kuna stendi na mall kabisa ,lini CAG au Takukuru Walisema hela zimeliwa?

Kati ya miradi iliyofeli ni hiyo ya ujenzi wa stendi!Hizo stendi za mikoa na wilaya huwa zinasaidia nini??
Huwa zinajengwa ili kuwasaidia nini hasa Wasafiri?
Stendi zilizofeli ni zile zilizojengwa awamu ya Magufuli Kwa mihemko bila kuzingatia uhalisia.Kati ya miradi iliyofeli ni hiyo ya ujenzi wa stendi!
Nazungumzia barabara ya lami KUTOKA tamco kibaha mpaka mapinga
Hakika, mfano waliojenga stendi za Igumbilo Iringa na Mbezi Magufuli walitakiwa wakamatwe kwa uhujumu uchumi.Kati ya miradi iliyofeli ni hiyo ya ujenzi wa stendi!
Nimekwambia stendi zote zilizojengwa awamu ya wakurupukaji zilifeli.Hakika, mfano waliojenga stendi za Igumbilo Iringa na Mbezi Magufuli walitakiwa wakamatwe kwa uhujumu uchumi.
Wewe chawa hujui lolote,Nimekwambia stendi zote zilizojengwa awamu ya wakurupukaji zilifeli.
Stendi za Sasa zinajengwa mjini hakuna inayofeli
Mbona wewe hajakuua?Ndie wa kwanza kuua maelfu ya watanzania na atalipia yeye na kizazi chake
Kuna shida kubwa ya uelewa kwa watawala wa nchi hii! Kwa haya yanayofanyika sasa, vyuo vya Tz vitaendelea kuning'inia kwenye nafasi za mwisho katika ubora wa elimu.
Hawa viongozi kama hawana uelewa, wanashindwa hata kutazamia? Hivi kwa fikra zao, wanaaminu nchi kama Uingereza, Marekani, Afrika Kusini, nchi zenye vyuo vikuu vinavyoongoza kwa ubora Duniani, wanaamini hazina fedha za kujenga campuses kila mji ndani ya nchi zao? Vyuo vikuu siyo baa za pombe za kuweka kila mtaa ili wanywaji pombe wakitoka tu, wakanywe pombe, na wakilewa warudi majumbani kwao kiurahisi. Ebu angalia vyuo vichache vilivyo bora Duniani:
Cape Town University:
, The University of Cape Town (UCT) does not have campuses in many different cities. It is a single-city institution based entirely in Cape Town, South Africa, with several specialized, interconnected campuses spread across the Cape Town metropolitan area.
Cambridge University:
The University of Cambridge is a single-city, collegiate institution, not a multi-campus system. It is located exclusively in Cambridge, UK, where it comprises 31 autonomous colleges and various departments spread across the city. It should not be confused with Cambridge College, a different institution with locations in Boston and Puerto Rico.
Havard University:
Harvard University does not have campuses in many different cities, but rather concentrates its facilities across three main areas in the Greater Boston/Cambridge region. The primary locations are the main campus in Cambridge (Harvard Yard), the Allston campus (business school/athletics), and the Longwood Medical Area in Boston.
Watawala wangekuwa na uelewa, walistahili kujenga vyuo vya kati vipya katika miji mbalimbali. Tanzania ni duni sana katika tekinolojia ambayo kwa kawaida hupatikana kutoka vyuo vya kati. Hata vile vichache vilivyokuwepo, kama Arusha Tech, Dar Tech na Mbeya Tech, kwa kukosa uelewa na maarifa, vilibadilisha kuwa vyuo vikuu. Leo nchi haina wataalam halisia na wenye uelewa mpana kama wale waliokuwa wanapatikana kutoka vyuo hivyo. PM mstaafu Pinda aliwahi kukiri kosa hilo walilolifanya, lakini hata baada ya kukiri, mpaka leo hawajasahihisha. Samia kwa kuzingatia uwezo wake wa uelewa katika masuala haya, alistahili kusaidiwa sana, lakini yaelekea wanaomzunguka nao ni wa hivyo hivyo!
Acha porojo zisizo na mashiko.Nchi ulizozitaja Zina idadi ndogo ya watu na pia Zina eneo dogo kulinganisha na Tanzania.Kuna shida kubwa ya uelewa kwa watawala wa nchi hii! Kwa haya yanayofanyika sasa, vyuo vya Tz vitaendelea kuning'inia kwenye nafasi za mwisho katika ubora wa elimu.
Hawa viongozi kama hawana uelewa, wanashindwa hata kutazamia? Hivi kwa fikra zao, wanaaminu nchi kama Uingereza, Marekani, Afrika Kusini, nchi zenye vyuo vikuu vinavyoongoza kwa ubora Duniani, wanaamini hazina fedha za kujenga campuses kila mji ndani ya nchi zao? Vyuo vikuu siyo baa za pombe za kuweka kila mtaa ili wanywaji pombe wakitoka tu, wakanywe pombe, na wakilewa warudi majumbani kwao kiurahisi. Ebu angalia vyuo vichache vilivyo bora Duniani:
Cape Town University:
, The University of Cape Town (UCT) does not have campuses in many different cities. It is a single-city institution based entirely in Cape Town, South Africa, with several specialized, interconnected campuses spread across the Cape Town metropolitan area.
Cambridge University:
The University of Cambridge is a single-city, collegiate institution, not a multi-campus system. It is located exclusively in Cambridge, UK, where it comprises 31 autonomous colleges and various departments spread across the city. It should not be confused with Cambridge College, a different institution with locations in Boston and Puerto Rico.
Havard University:
Harvard University does not have campuses in many different cities, but rather concentrates its facilities across three main areas in the Greater Boston/Cambridge region. The primary locations are the main campus in Cambridge (Harvard Yard), the Allston campus (business school/athletics), and the Longwood Medical Area in Boston.
Watawala wangekuwa na uelewa, walistahili kujenga vyuo vya kati vipya katika miji mbalimbali. Tanzania ni duni sana katika tekinolojia ambayo kwa kawaida hupatikana kutoka vyuo vya kati. Hata vile vichache vilivyokuwepo, kama Arusha Tech, Dar Tech na Mbeya Tech, kwa kukosa uelewa na maarifa, vilibadilisha kuwa vyuo vikuu. Leo nchi haina wataalam halisia na wenye uelewa mpana kama wale waliokuwa wanapatikana kutoka vyuo hivyo. PM mstaafu Pinda aliwahi kukiri kosa hilo walilolifanya, lakini hata baada ya kukiri, mpaka leo hawajasahihisha. Samia kwa kuzingatia uwezo wake wa uelewa katika masuala haya, alistahili kusaidiwa sana, lakini yaelekea wanaomzunguka nao ni wa hivyo hivyo!
Bondeni City ni Kijijini? Ni umbali km ngapi kutoka City Centre?Wewe chawa hujui lolote,
Stendi ya Arusha inajengwa mjini??
Masasi na newala kajenga stand za kisasa za ghorofa 4 hakuna kama samia duniani hapa
💯Hakika, mfano waliojenga stendi za Igumbilo Iringa na Mbezi Magufuli walitakiwa wakamatwe kwa uhujumu uchumi.
16+ kilometers kutoka mjini. Tunasubiri tuone muujiza itakavofanya kazi.Wewe chawa hujui lolote,
Stendi ya Arusha inajengwa mjini??
Mimi nimekuambia masasi punga wewe halafu unaniletea Habari za arusha