Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Mwenyewe nashangaa. Pia kama wanampenda sana Samia wasianzishe nyuzi za kumpamba kwa sababu ndio wanazidi kumchafulia jina. Watu ndio wanazidi kumchukia wakiona nyuzi za Lucas Mwashambwa na Choice Variable

Wao wanadhani wanamsafisha mama yao ila actually wanamchafua
Kuchukia ni jukumu lako binafsi hapa nakupa kazi nzuri za Samia.

Uchukie au ufurahi kama Mimi non of my business
 
Kwenye Changamoto ndipo maarifa ya ufumbuzi yanapatikana.

Hatua Moja huanzisha nyingine

Hakuna wa kumlinganisha na Samia kwenye delivery
Kama tuna makusanyo makubwa kama tunavyoambiwa na TRA, kuna mwezi tunaambiwa tunafika Trillioni 1.5, tungepeleka japo bil.500 kwenye afya na trillioni moja kwenye elimu ya juu kama mikopo kwa mwaka mmoja tu, tungemaliza matatizo ya nchi hii kwa kiasi kikubwa. Serikali zetu hazijawahi kuwa na priorities, zinafanya kazi kwa mitindo ya zimamoto, hapo ndiyo tunapokwama. Nachoelewa ni kuwa hata hiyo budget yetu ya mwaka mzima ya Trillioni 60, huwa haipelekwi yote kunakotakiwa. Afya inayopewa Shs. Bilioni 100 haipelekwi yote. Kweli tunarudi nyuma.
 
Uwezo wako wa kufikiria ni level za Chadomo.

Kwanza tunakusanya zaidi ya Trilioni 3 Kwa mwezi,hiyo ukiyotaja ni ya mwaka 2021.

Pili pesa zinazoenda hizo sekta ni zaidi ya unazotaja mfano mikopo Kwa wanafunzi ni zaidi ya Bilioni 750-800 Kwa mwaka na huko Afya ni matrilioni yanaenda.

Hakuna Nchi ikiyowahi maliza Changamoto tumia akili.
 
Nimekuwa mstaarabu kueleza kwa utaratibu ambao nadhani utaelewa. Sasa naona una-judge uwezo wangu wa kufikiri. Naona unataka nitumie lugha unayotaka au uliyoizoea mbwa wewe. Kwanza uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana punda wewe, unatumia zaidi makalio yako kuliko kichwa chako fala wewe. Kwa taarifa yako sijihusishi na chama chochote cha siasa, ila nimefanya kazi serikalini kwa hiyo najua udhaifu uliopo siyo kama wewe. Wewe mwenyewe unajua HESLB inatoa mikopo isiyofika 1 Trillioni, sasa unabisha nini wewe mavi? Wewe unafikiri wangeongeza hiyo BIL. 200 Kusingekuwa na impact kubwa? Nadhani boyfriend wako ana kazi sana kukuelewesha maana huelewi...mpumbavu wewe. Kama tunakusanya Tril. 3 kwa mwezi, angalia wizara ya afya budget yake ni kiasi gani.....Hasa kwenye (i.) Hiring (ii) Training (iii) Medication, halafu uone hiyo budget kama ni significant, Ushauri wangu ni kuwa tumia akili japo kidogo, kulio kutumia makalio yako.
 
Huna uwezo wowote wa kufikiri vitu vya maana usinichoshe.

Just imagine hujui chochote kuhusu Bajeti ya Nchi,GDP,Makusanyo,mikopo ya waafunzi,matumizi sekta ya Afya nk.

Sasa mpaka hapo tutakuwa tuna argue nini ? Kasome Ukiwa na contents za kutosha uje tujadiliane
 
Maneno kama haya huoni kama yanawagawa wana CCM? Kwa nini nyie kwa nyie huwa mnaanza kusema ati Rais fulani zaidi ya yule?
Si milikuwa mnasema ni manifesto ya chama?
Mimi sio mwana CCM hakuna mahala kwenye mada zangu Huwa nataja CCM so nime declare interest lazima niwalinganishe Ili kulima progress
 
Maneno kama haya huoni kama yanawagawa wana CCM? Kwa nini nyie kwa nyie huwa mnaanza kusema ati Rais fulani zaidi ya yule?
Si milikuwa mnasema ni manifesto ya chama?
Hao akina Choice variable na CCM wote wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Kama ni manifesto ya chama kuna umuhimu gani wa kumwabudu kiongozi. Tumeona hizo tabia baada ya Kikwete kuingia madarakani, halafu Magufuli na huyu mjinga wa sasa.
 
Siku moja ikitokea Shabiby Mbunge wa Gairo akagombea Urais nitampa kura yangu .. huyu anaongea ukweli katikati ya mapunguani yanayomuumbia sifa hewa .. ameamua kujilpua kueleza nchi inavyoibiwa kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii..
 
Siku moja ikitokea Shabiby Mbungeueleza nchi inavyoibiwa kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii..
Lini Nchi haijawahi kuibiwa? Kama inaibiwa na mambo yanaenda Kuna tatizo gani?

Mfano wewe ni boss,Kuna watu wanagombea kazi tena Wana uwezo mmja akakuoa dau kubwa akapata kazi hapo wewe na Nchi imeibiwaje?
 
Hao akina Choice variable na CCM wote wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Kama ni manifesto ya chama kuna umuhimu gani wa kumwabudu kiongozi. Tumeona hizo tabia baada ya Kikwete kuingia madarakani, halafu Magufuli na huyu mjinga wa sasa.
Muasisi wa Uchawa nchi hii ni Kikwete mara baada ya kushindwa kura za maoni mwaka 1995 na kundi la wanamtandao wenzake wakaanza kampeni ya kumuumbia sifa kila nyanja kuanzia Makanisani, Misikitini, Magazeti hadi BBC huko Tido Mhando alihusika sana..Anserbert Ngurumo kipindi kile akiandikia Tanzania Daima aliwahi kuhoji utendaji kazi wa Kikwete ulikuwa haufikii hata nusu ya Magufuli aliyekuwa waziri wa ujenzi enzi ya Mkapa..
 
Muasisi wa Uchawa nchi hii ni Kikwete mara baada ya kushindwa kura za maoni mwaka 1995 na kundi la wanamtandao wenzake wakaanza kampeni ya kumuumbia sifa kila nyanja kuanzia Makanisani, Misikitini, Magazeti hadi BBC huko Tido Mhando..Anserbert Ngurumo kipindi kile akiandikia Tanzania Daima aliwahi kuhoji utendaji kazi wa Kikwete ulikuwa haufikii hata nusu ya Magufuli aliyekuwa waziri wa ujenzi enzi ya Mkapa..
Jadilini hoja iliyoko mezani acheni vioja
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
View attachment 3545473View attachment 3545474

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati
View attachment 3545391

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/reel/DSabldDCNVW/?igsh=MTQ4ankyMGp6OW5yMw==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.

View: https://www.instagram.com/p/DSabBPAiBfc/?igsh=aG5nZHNybzdvZTd1

Hiyo IDEA ILIKUWA YA MAGUFULI HUYO ANAJUA NINI ZAIDI YA UWASI TU
 
Muasisi wa Uchawa nchi hii ni Kikwete mara baada ya kushindwa kura za maoni mwaka 1995 na kundi la wanamtandao wenzake wakaanza kampeni ya kumuumbia sifa kila nyanja kuanzia Makanisani, Misikitini, Magazeti hadi BBC huko Tido Mhando alihusika sana..Anserbert Ngurumo kipindi kile akiandikia Tanzania Daima aliwahi kuhoji utendaji kazi wa Kikwete ulikuwa haufikii hata nusu ya Magufuli aliyekuwa waziri wa ujenzi enzi ya Mkapa..
Kikwete mnamchukia ila huyo baba nampenda sana . Anajua kula na vipofu.
 
Hana lolote mazingira ya siasa Sasa hivi ni tofauti na wakati ule.

By then kulikuwa hakuna watu wanaosema watauvuruga uchaguzi na kukinukisha Hadi Katiba iwepo.
 
Samia hajui kitu wangemuacha hai magufuli tungekuwa kama ulaya na china wakamweza mwenzao na delila wao. Basi mwenda zake akaenda .
Mlishindwa nini kuwa kama Ulaya Kwa miaka yake 6?

Bila Samia mafukara na majobless kama wewe ndio mungejaza hii Nchi.
 
Hana lolote mazingira ya siasa Sasa hivi ni tofauti na wakati ule.

By then kulikuwa hakuna watu wanaosema watauvuruga uchaguzi na kukinukisha Hadi Katiba iwepo.
zamani sasa wengi sana waliandamana uliza watu humu ila hawakuuwawa kikwete alikuwa anakili na alikuwa anatuliza vijana kiakili walisema watakinukisha wakina dr slaa wengi sana aisee sio sasa hakuna mtu wakutikiaa kiberiti halafu mnaanza uuwaji nyie makengee Mungu yupo na anaona atawalipa kadri ya damu za watu si unamuona abeli alivyouliwa na kaini damu ililipizwa tu .
Mlishindwa nini kuwa kama Ulaya Kwa miaka yake 6?

Bila Samia mafukara na majobless kama wewe ndio mungejaza hii Nchi.
Zaidi ya hiyo simu unamiliki nini au hicho chumba chakutekea wenzako nyara wewe tulia damu za watu zikuingie
 
Back
Top Bottom