Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Eti? Kwahiyo solution ya kukataliwa ni kuua watu? Haoni yaliyomkuta sheikh Hasina? Anyway muda wenu unakuja nao upo karibu sana
Waliopanga foleni kupiga kura na nyie wahuni mlioandaa watu kuvuruga uchaguzi nani alikataliwa?

Nasisitiza mje kuleta upuuzi tena muone ,mfyekwe na ndio maana huo upuuzi wenu watu wameukataa this time around.
 
Unadhani wasipompenda Kuna tatizo? Mungu akimpenda inatosha utamuona Hadi 2030 hayo mengine mtajua wenyewe.

Mwisho ni kawaida Kwa manabii
Hakuna Mungu anayempenda mmwagaji damu na mkandamizi hata siku moja.
-Unatuelezeaje kwa Tanzania kushuka kiuchumi na kuwa miongoni mwa nchi 35 masikini duniani tangu kuingia madarakani kwa Samia??
 
Haya Kwa hiyo unatakaje?
 
Sawa msemaji wa Mungu kamshitaki Sasa Kwa Mungu wako mbona anazidi Kumpa afya tele na maarifa ya kuineemesha Tanzania?

Haya Kwa hiyo unatakaje?
Ah si umesema Samia anaineemesha Tanzania!?
Naleta mjadala wa maana unaniambia natakaje tena!??
😂😂😂
-Serikali inasema kuwa mapato yameongezeka ukusanyaji wake. Kama mapato yameongezeka ukusanyaji wake kwanini nchi ilikopa mara tatu zaidi ya awamu zilizopita!??
Kwanini baadhi ya miradi haipigi hatua stahiki hadi nchi iombe msaada wa kifedha wa kimataifa!?
 
Mimi sio msemaji wa Mungu nimeona wewe umemhusisha Mungu ndio maana nikaamua kukujibu hivyo. Binafsi siamini kama Mungu ndio anafanya watu tuendelee kuishi. Ukiona unaendelea kuishi jua ni kwa sababu bado hakijakutokea kitu cha kufanya ufe

Halafu kuhusu afya hata Sheikh Hasina ana afya tele, Waisrael ni wauaji na wana afya tele. Hata wale walioua watu Sudan wana afya tele. Wanaoua watu DRC wana afya tele pia. Watu wengi wana afya tele sio Samia peke yake
Kiwa na afya tele haimaanishi wewe ni mtu mwema
 
Back
Top Bottom