Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Mimi sio msemaji wa Mungu nimeona wewe umemhusisha Mungu ndio maana nikaamua kukujibu hivyo. Binafsi siamini kama Mungu ndio anafanya watu tuendelee kuishi. Ukiona unaendelea kuishi jua ni kwa sababu bado hakijakutokea kitu cha kufanya ufe

Halafu kuhusu afya hata Sheikh Hasina ana afya tele, Waisrael ni wauaji na wana afya tele. Hata wale walioua watu Sudan wana afya tele. Wanaoua watu DRC wana afya tele pia. Watu wengi wana afya tele sio Samia peke yake
Kiwa na afya tele haimaanishi wewe ni mtu mwema
Viongozi wanapangwa na Mungu hutaki acha umpende usimoende ndio Rais na huna Cha kumfanya.
 
Ah si umesema Samia anaineemesha Tanzania!?
Naleta mjadala wa maana unaniambia natakaje tena!??
😂😂😂
-Serikali inasema kuwa mapato yameongezeka ukusanyaji wake. Kama mapato yameongezeka ukusanyaji wake kwanini nchi ilikopa mara tatu zaidi ya awamu zilizopita!??
Kwanini baadhi ya miradi haipigi hatua stahiki hadi nchi iombe msaada wa kifedha wa kimataifa!?
Ndio SSH anaineemesha Tanzania Kwa miradi kedekede inayokufaidisha na wewe hater wake.

Mjadala wa Nje ya mada ni useless
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
View attachment 3545473View attachment 3545474

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati
View attachment 3545391

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/reel/DSabldDCNVW/?igsh=MTQ4ankyMGp6OW5yMw==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.

View: https://www.instagram.com/p/DSabBPAiBfc/?igsh=aG5nZHNybzdvZTd1

Hizo stand chafu zinasaidiaje wananchi wa Tanzania au Tanganyika??? Kuna mambo mengi tu ya kufanya zaidi ya huo ujinga anaoufanya. BTW hizo ni moja ya job description yake, kwa kutumia pesa zetu za kodi. Kwani ni pesa zake? Ebu acheni utaahira hata kama mnalipwa.Kwanini kila kitu anapenda kuipa majina yake? Eti Dr. Samia Suluhu Hassan, huo udaktari fake wa kupewa haumstahili mtu aliyefeli form IV. Hata huyo Kikwete huo udaktari aliupata wapi? Mbona Mkapa pamoja na elimu aliyonayo hakujiita Dr.? Ni hao mambumbumbu wawili wenye sifa za utekaji, ufiraji, ubakaji, utesaji na uuaji wa watanganyika wasio na hatia.
 
Mara job description yake Mar uchafu Sasa mbona hueleweki?

Kama hujui faida zake kaulize hao wajinga wenzakonaoishuhuko Tanganyika ila Tanzania wanaelewa faida zake.
 
Sio kwamba hela hamna.?
Hay barabara ya kibaha vikawe, mapinga bagamoyo mbona nayo imesimama kujengwa muda shida nini
Kwani huelewi nini? Kwamba hujasikia Serikali inawavunjia miktaba Wakandarasi licha yakuliowa.pesa ila wanashindwa ku deliver?

Ni wajibu wa mkandarasi kujenga harafu adai Serikali pesa na riba
 
Kwani huelewi nini? Kwamba hujasikia Serikali inawavunjia miktaba Wakandarasi licha yakuliowa.pesa ila wanashindwa ku deliver?

Ni wajibu wa mkandarasi kujenga harafu adai Serikali pesa na riba
Achana na hyo ya kigamboni.nimehamia ya tamco kibaha mpaka mapinga mbona imesimama
 
Sawa ni jambo jema.
Sasa mshauri Rais Dr Samia , miradi mingine mfano wa hiyo ijengwe / kuendeshwa na wazawa. Ili kuengeza mnyororo wa fedha kwa Wananchi ambapo vijana ni<70% ya Wananchi
 
Waliopanga foleni kupiga kura
Wangapi? Unaweza weka picha hata moja yenye msururu wa wapiga kura?
na nyie wahuni mlioandaa watu kuvuruga uchaguzi nani alikataliwa?
Kama hamjakataliwa mbona bibi yenu anajificha zanzibar si afanye ziara kama zamani za wilaya kwa wilaya akisimama njiani kuongea na waliompigia kura.

Pia kwanini aliapishwa jeshini na kuwanyima fursa ya wapiga kura wake Millioni 31 kumshangilia?

Endeleeni kujifanya hamuoni ukweli ila next time hakuna mtu ataandamana na mawe itakua ni risasi kwa risasi!!
 
Viongozi wanapangwa na Mungu hutaki acha umpende usimoende ndio Rais na huna Cha kumfanya.
Mungu hawezi kuwaua watu ili amwingize mtu wake madarakani.huyu kaingizwa na shetani ndo maana hapendwi hana kibali cha Mungu sooon ataondoka.
 
Back
Top Bottom