M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
View attachment 3545473View attachment 3545474
Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati
View attachment 3545391
Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.
View: https://www.instagram.com/reel/DSabldDCNVW/?igsh=MTQ4ankyMGp6OW5yMw==
My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.
Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.
View: https://www.instagram.com/p/DSabBPAiBfc/?igsh=aG5nZHNybzdvZTd1
Samia amejenga stendi? Okay. Mbona sasa ikisemwa kwamba Samia ameua Gen Z Oct'29th-2025 mnasema Samia hakushika bunduki kwani hapo alibeba matofali? Vipi kwamba Samia ndiyo kazika vijana wetu kwenye mass graves, Samia ndiyo anateka, anafira na kuua Watanganyika. Samia ndiyo anakopa fedha nje na madeni ni ya Samia si madeni ya nchi.
Kama sifa mnavyozipeleka na lawama ziende equally.