Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

zamani sasa wengi sana waliandamana uliza watu humu ila hawakuuwawa kikwete alikuwa anakili na alikuwa anatuliza vijana kiakili walisema watakinukisha wakina dr slaa wengi sana aisee sio sasa hakuna mtu wakutikiaa kiberiti halafu mnaanza uuwaji nyie makengee Mungu yupo na anaona atawalipa kadri ya damu za watu si unamuona abeli alivyouliwa na kaini damu ililipizwa tu .

Zaidi ya hiyo simu unamiliki nini au hicho chumba chakutekea wenzako nyara wewe tulia samu za watu zikuingie
Siku ya chaguzi uliwaona wameenda kuzuia Uchaguzi? Mwenyekiti wa Chama alikuwaga Kibaraka Lisu? Malengo ya kina Slaa yalikuwaga Urais kama kibaraka wenu?

Sihitaji kuuliza najua,pamoja na yote hayo kawaulize nini kiliwakuta Arusha ,Dar ,Iringa waulize kina Mawazo,Kubebea,Ulimboka,Yule mwandishi wa Iringa na wengine wengi sana.

Hakuna akili yeyote Bali hakukuwa siasa na uelewa wa Kisiasa kama Sasa hivi.

Narudia tena hana lolote,hao unaowatetea hapa walikataa maridhiano Ikulu wakamtoa Mbowe Ili wamuweke kibaraka aliyepangwa na Wazungu ndio hao waliandaa mkakati wa kuangusha Serikali.
 
Siku ya chaguzi uliwaona wameenda kuzuia Uchaguzi? Mwenyekiti wa Chama alikuwaga Kibaraka Lisu? Malengo ya kina Slaa yalikuwaga Urais kama kibaraka wenu?

Sihitaji kuuliza najua,pamoja na yote hayo kawaulize nini kiliwakuta Arusha ,Dar ,Iringa waulize kina Mawazo,Kubebea,Ulimboka,Yule mwandishi wa Iringa na wengine wengi sana.

Hakuna akili yeyote Bali hakukuwa siasa na uelewa wa Kisiasa kama Sasa hivi.
Nani kakuambia nampenda lissu mie chadema siwataki hata kuwaona kifupi tu hapa tunaongelea lissu hivi msimzuie kutoka eti kwa sababu alitaka kukinukisha nope maana hata wengi walisema nakufanya ila kikwete wangu alikuwa na akili akatuliza mamboo .

Kiufupi siasa sijawahi mpenda yeyote niko alone .
Halafu kingine ni mpende nani nawote wakipata hela wanaenda kufaidisha wake na watoto wao .
Nipo mwenyewe namaisha yangu ila ukweli nitausema .
 
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti.

Hukuwaona waliotenda? Hukuona walichokuwa wanafanya?

Unatakiwa uelewe malengo ya Sasa ni tofauti na wakati ule ,saizi ni rahisi sana hata ku brainwash Vijana wasiojielewa via mtandao .

Mwisho nilikuwa Dar 2015 wakati Magufuli anatangazwa kule posta kulikuwa na vifaru mtaani sijui unasemaje.
 
zamani sasa wengi sana waliandamana uliza watu humu ila hawakuuwawa kikwete alikuwa anakili na alikuwa anatuliza vijana kiakili walisema watakinukisha wakina dr slaa wengi sana aisee sio sasa hakuna mtu wakutikiaa kiberiti halafu mnaanza uuwaji nyie makengee Mungu yupo na anaona atawalipa kadri ya damu za watu si unamuona abeli alivyouliwa na kaini damu ililipizwa tu .

Zaidi ya hiyo simu unamiliki nini au hicho chumba chakutekea wenzako nyara wewe tulia damu za watu zikuingie
Bila Samia Nchi hii mungejaa mafukara na ma jobless alikuja kuokoa Taifa dhidi ya kutumbukia kwenye umaskini huku mnasifiana ujinga.

Kinachoitwa uchawa ,hofu na kutojali utu kilianzia pale
 
Machawa wa Magufuli walikuwa wananchi wenyewe walimpenda akapendeka hivi hujiulizi kwa nini video clip zake zinazidi kutrend platform zote kuanzia FB, IG, Tiktok,X hadi You Tube unafikiri itakuwa rahisi kumsahau mtu aliyewapigania kwa moyo wote ? Samia pamoja na kufanya media setting na kutengeneza mabango nchi nzima na kulipa machawa km wewe bado hapendwi na wananchi huu ndio ukweli ndio mtapanuka vinyeo bila kuuzima !
 
Kupendwa ndio nini na ndio kunasaidia nini?
 
Kunasaidia wananchi wanakuwa na furaha na uongozi uliokuwepo.
Hakuna maandamano makubwa yatakayotokea, hakuna mauaji ya halaiki, hakuna vilio kwenye nyumba za Watanzania, hakuna vikundi vya uasi kama TFF au TFM kuanzishwa, hakuna kuhusisha polisi kwenye dhambi za mauaji, hakuna chuki kati ya polisi na wananchi, hakuna udini wa kutengenezwa, utengano unakuwa mdogo, haki na amani zinatawala
 
Lini Nchi haijawahi kuibiwa? Kama inaibiwa na mambo yanaenda Kuna tatizo gani?

Mfano wewe ni boss,Kuna watu wanagombea kazi tena Wana uwezo mmja akakuoa dau kubwa akapata kazi hapo wewe na Nchi imeibiwaje?
Tunataka credibility and honesty katika nchi yetu. Kuibia nchi au kumwibia mtu si jambo la fahari na la kujivunia, ni aibu na fedheha, ni suala la moral. Hivi kuna raha gani unaibia nchi mabilioni ya dollar, mnanua majumba Dubai, mnanunua magari ya Dollar Millioni 28 kwenye nchi fukara kama yetu, huku watu wanakufa kwa malnutrition na kwashiorkor, hawawezi ku-afford hata milo miwili kwa siku, wakienda hospital hakuna dawa, wanakufa halafu mwingine anaiibia nchi hajali jukumu tulilompa la kuilinda nchi yetu na kutenda haki. Ngoje nikuulize wewe, Siku ile rais anaapa alisema nini? Kitabu cha dini yake alichoshika, alikishika kwa ajili gani?. Tunadharaulika waafrika kutokana na tabia zetu chafu, watu mnashupaza shingo kutetea uovu, jamani hata amri za Mungu hazikatazi wizi na kuua?? Ninyi watu mnatoka dunia gani....hata vitu rahisi mnashindwa kuelewa? Kama rais na kiongozi mwema unatakiwa utende haki, kama hutendi haki, unaonyesha mfano gani kwa jamii?
 
Wengi ni waliopiga kura nyie wa blaa blaa hamtunyimi usingizi
Mbona aliogopa washindani, alikuwa yeye mwenyewe lakini akashindwa.....It is very strange, the only contender lost the election. Pamoja na kufunga wapinzani lakini hata kura zake hazikutosha, yaani anacheza mpira mwenyewe na yeye mwenyewe referee lakini kashindwa kufunga magoli. It is shame, kapongezwa na Burundi, na Somalia, wengine wote waliokuwepo kwenye usimamizi wa kura wamesema hajashinda.....Sasa endelea kubisha
 
Bila Samia Nchi hii mungejaa mafukara na ma jobless alikuja kuokoa Taifa dhidi ya kutumbukia kwenye umaskini huku mnasifiana ujinga.

Kinachoitwa uchawa ,hofu na kutojali utu kilianzia pale
Hayaa damu ya waliokufa itawarudia nyie wote mnaona ni kama wanyama ndio walikufa ile siku
 
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti.

Hukuwaona waliotenda? Hukuona walichokuwa wanafanya?

Unatakiwa uelewe malengo ya Sasa ni tofauti na wakati ule ,saizi ni rahisi sana hata ku brainwash Vijana wasiojielewa via mtandao .

Mwisho nilikuwa Dar 2015 wakati Magufuli anatangazwa kule posta kulikuwa na vifaru mtaani sijui unasemaje.
Uongoo hakuna mtu aliyetaka kuuwawa hiyo siku na kwanza hatumuongelei magufuli tunamuongelea kikwete akili yako imejaa uchawa nilini kikwete kaua mtu kwenye uongozi wake na marais wote wa nyuma???
 
Nimekwambia Mikoa yote kazi inaendelea uwe unaelewa.
Mbona swali langu ni simple si utaje tu shida iko wapi? Nakuandikia swali langu upya :

1. Mtwara ni sehemu gani hiyo stand inajengwa/kazi ianendelea?

2. Lindi ni sehemu gani hiyo stand inajengwa/kazi ianendelea?

3. Kahama ni sehemu gani hiyo stand inajengwa/kazi ianendelea?

4. Kagera ni sehemu gani hiyo stand inajengwa/kazi ianendelea?
 
Back
Top Bottom