Samia ndiye Rais wa Kwanza Kujenga Stendi Kila Mji Tanzania Hadi Mikoa Iliyokuwa Imeshindikana kama Arusha na Mbeya

Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
View attachment 3545473View attachment 3545474

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati
View attachment 3545391

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/reel/DSabldDCNVW/?igsh=MTQ4ankyMGp6OW5yMw==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.

View: https://www.instagram.com/p/DSabBPAiBfc/?igsh=aG5nZHNybzdvZTd1

Wenzenu wanapiga hela kupitia tend za ujenzi, hizo stendi hazimlindi msafiri dhidi ya mvua na jua.
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
View attachment 3545473View attachment 3545474

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati
View attachment 3545391

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/reel/DSabldDCNVW/?igsh=MTQ4ankyMGp6OW5yMw==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.

View: https://www.instagram.com/p/DSabBPAiBfc/?igsh=aG5nZHNybzdvZTd1

Kagera
 
Samia ndo Raisi wa kwanza kulipa pesa nyingi Machawa kulazimisha watu wampende na kumwelezea aliyoyafanya tofauti na uhalisia na mambo yanavyoonekana.
 
Mbona aliogopa washindani, alikuwa yeye mwenyewe lakini akashindwa.....It is very strange, the only contender lost the election. Pamoja na kufunga wapinzani lakini hata kura zake hazikutosha, yaani anacheza mpira mwenyewe na yeye mwenyewe referee lakini kashindwa kufunga magoli. It is shame, kapongezwa na Burundi, na Somalia, wengine wote waliokuwepo kwenye usimamizi wa kura wamesema hajashinda.....Sasa endelea kubisha
Vibaraka sio washindani
 
Hizo stendi za mikoa na wilaya huwa zinasaidia nini??

Huwa zinajengwa ili kuwasaidia nini hasa Wasafiri?
Ndugu, unawezaje kuhoji umuhimu wa stendi?

Umuhimu wa stendi uko palepale licha ya Uchawa wa Mtoa hoja.
Ikwiriri, Lindi, Mtwara, Masasi, Tunduru, Songea, Mikumi, Mlandizi, nk...kote huko ni vumbi tupu stendi halafu yeye anadai ni miji yote Tz. Pambafu!
 
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
View attachment 3545473View attachment 3545474

Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna stendi Mpya ya Samia lakini hajaishia hapo anajenga stendi nyingine Mpya Mjini Bahati
View attachment 3545391

Kiufupi ni Mikoa yote amejenga au anajenga stendi Kali kama Airports.

View: https://www.instagram.com/reel/DSabldDCNVW/?igsh=MTQ4ankyMGp6OW5yMw==

My Take
Historia itamkumbuka kama mama wa Uchumi.

Kiufupi Nina mada nyingi sana za Kuandika kuonesha utofauti wake na waliotangulia.

View: https://www.instagram.com/p/DSabBPAiBfc/?igsh=aG5nZHNybzdvZTd1

Ndiye mwanamke wa kwanza muuaji pia tangu kuumbwa dunia
 
Baada ya kuongezea mzigo wa deni la taifa na ccm
Ccm imetuharibia Tena taifa Kwa kututengenezea wajinga kama wewe
 
Back
Top Bottom