Ila huyu mtoa post yuko tayari hata kuvaa hijab afanane na mama AbdulSwali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
NdioKwaiyo tupo san
Kwaiyo tupo sana
Samia sio MagufuliMagufuli alikuwa aage mwaka huu 2025 lakini kilichotokea...☠️☠️☠️
Hii haibu kubwa , akiwa anaachia ngazi, kwamba anamkataba na Mungu, binadam tunajaa viburi mpaka tunajisahau, basi tu ni kwa sababu mwaka huu hakuna uchaguziRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
Kwani wenyewe hawataki vyeo? Akija mwingine wataendelea na vyeo vyao?Ukioma hivyo,huenda Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimemhakikishia kuwa ataongoza hadi 2030.
Mungu ndio anaongoza Nchi?Hii haibu kubwa , akiwa anaachia ngazi, kwamba anamkataba na Mungu, binadam tunajaa viburi mpaka tunajisahau, basi tu ni kwa sababu mwaka huu hakuna uchaguzi
Aisee wewe wenda ni mpagani,Mungu ndio anaongoza Nchi?
HujakoseaAisee wewe wenda ni mpagani,
OK kama ndivyo kaa kwa kutulia , nilichoandika kiko juu ya uwezo wakoHujakosea
Uwezo gani? Acha ujingaOK kama ndivyo kaa kwa kutulia , nilichoandika kiko juu ya uwezo wako
Ni kwamba ana mkataba na Mungu wa kuishi mpaka huo mwaka wa 2030, au!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
View attachment 3263812
Yeye anazungumza ya kwake kama binadamu hayo ya Mungu hayamuhusu na Wala hawezi yaongeaNi kwamba ana mkataba na Mungu wa kuishi mpaka huo mwaka wa 2030, au!!
Hana mkataba, ila Mungu hufuata namna mtu anavyojitamkia, unajitamkia mabaya, yatakupata, ukijitamkia mema, yatakupata.Ni kwamba ana mkataba na Mungu wa kuishi mpaka huo mwaka wa 2030, au!!
Ndio ukweli huo hata magenso piga saizi tena mwaka huu wa uchaguziKuna mtu kanimbia ukishindwa kujenga katk kipindi hiki cha samia ni ngumu sna kujenga mnk kuna vitu vimelegezwa
Harafu mambo ya Mungu Samia hawezi yazungumziaHana mkataba, ila Mungu hufuata namna mtu anavyojitamkia, unajitamkia mabaya, yatakupata, ukijitamkia mema, yatakupata.
Exactly, Samia lazima azungumzie mipango yake, maana hata Mungu hufanikisha mipango ya mtu ila siyo kumtengenezea mtu mipango.Harafu mambo ya Mungu Samia hawezi yazungumzia