ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Wewe hapo tofauti na tumbo lako inapigania nini tangible?Kale kwanza ushibee.. Usikute nabishana na mbumbumbu mmojaa asiyeijua kesho yake.... Bado unapigania tumbo wewe akili yako finyuu pole... Sanaa... Maskini wa fikra wewe..
amependeza na analips nzuri.
Samia siyo Mungu!Samia sio Magufuli
Kwani Kuna mahala Mimi au yeye amesema ni Mungu?Samia siyo Mungu!
umenena ukweli mtupu Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania woteRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
well done RC Paul Christian Makonda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Kwani kamdhihaki Mungu wapi?Mungu hadhihakiwi.
Kama kweli atavuka na kiti 2025 basi in between hapo Nchimbi atakuwa Rais.Huyu kama aking'ang'ana kwenye madaraka, hafiki 2030. Ndiyo maana hata kuutaja mwaka 2030 sauti na mdomo wake vimekataa
Aisee! Umesema niliyokuwa nawaza! Mungu akubariki sana!Swali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
Acha ujinga, amedhihaki sana!Kwani kamdhihaki Mungu wapi?
Upinzani hawawezi kushinda labda ndani ya ccm atokee mwingineSwali la kujiuliza ana hakika gani kama atakuwa Rais!!?? Ina maana ana maamuzi ya wapiga kura?!!! Ina maana uchaguzi utakaofanyika ni Maigizoo??!! Nawaheshimu sana Mpango na Kinana... Wana akili kubwa sanaa....
Hakutia neno kama nikiwa mzima na mwenyewe afya? Akina Magu walikuwa na mipango kamambe kushinda hiyo ya Samia.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Yaani huyu iwe kwa heri ama kwa shari hatoboiKama kweli atavuka na kiti 2025 basi in between hapo Nchimbi atakuwa Rais.
Waislamu wao wanasema in shaa Allah na ndio tafsiri ya Mungu akipendahaha angalau hata angeweka neno Mungu akipenda lkn waislamu hawana hilo neno hata hivyo, hajui mpaka 2030 is a loong time chochote kinaweza kutokea kati ya leo na 2030 β¦
Nawapenda sana watu WASIOMTANGULIZA MUNGU kwenye kauli zao, matokeo Mungu Huwa anapangua mipango kwa kosa la kutomshirikisha.π€π€π€Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Basi unajifanya kumjua Mungu saana π€£π€£Nawapenda sana watu WASIOMTANGULIZA MUNGU kwenye kauli zao, matokeo Mungu Huwa anapangua mipango kwa kosa la kutomshirikisha.π€π€π€
Msemo wa Kiswahili "ANAYELIRUKA SHIMO AMEAGANA NA NYONGA"
Sasa we akili yako kabisa unafikiri Chadema itashinda? Watu wengine .mna nini vichwani?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maadhimisho mengine ya Siku ya Wanawake yatafanyika mwaka 2030 wakati atakapoachia ngazi.
View attachment 3263722
My Take
Chadema tafuteni kazi ya kufanya, uchaguzi umekwisha tunasubiria Uapisho tuu hiyo Oktoba.
View attachment 3263987
Kwanini unachukia kumtaja Mungu?? punzi, uhai vyote no Mali yake, kwanini tusimtangulize??Basi unajifanya kumjua Mungu saana π€£π€£