🤣 🤣 🤣 🔊Nimeona hiyo nikaishia kucheka tu!
🤣 🤣 🤣 🔊Kwamba kuwasafiriaha kwenye malori kwani wao ni mang'ombe???
Wao wanatembelea Mav8, ama na wao washuke wapande hayo malori.
Anyway Sina kazi ya kufanya that's why nimecomment.
Ndiyo awasafirishe hao wanachama wenzake kwenye malori ya mizigo na mikokoteni ya kukokotwa na punda, halafu yeye anasafiria V8 na ndege!!!!Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama kusafirisha wanachama wake''
Soma Pia: GE2025 - Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu