GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwamba kuwasafirisha kwenye malori kwani wao ni mang'ombe???

Wao wanatembelea Mav8, ama na wao washuke wapande hayo malori.

Anyway Sina kazi ya kufanya that's why nimecomment
 
Msikilize hapo...

My take: Miaka 60 baada ya uhuru huku chama chake kikishika hatamu bado kuna Watanzania hawana access na habari na hivyo wanalazimika kupakiwa kwenye malori kama nyanya kuenda kusikiliza sera kwa umbali hadi kilomita 90.

Kama umeteka media zote: tv, redio, magazeti ... yanini tena kusafirisha wafuasi kuhudhuria mikutano? si wakae tu majumbani wafuatilie kwenye media?
Your browser is not able to display this video.
 
Ndiyo awasafirishe hao wanachama wenzake kwenye malori ya mizigo na mikokoteni ya kukokotwa na punda, halafu yeye anasafiria V8 na ndege!!!!
 
Tanzania Tanzaniaaa .,. nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…