PreGE2025 Samia Squad yaanzishwa, lengo kuu ni kumsifu Rais Samia ili kujipatia hela za kujikimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi ni
vile vikundi alivyosema "ukinizingua na mimi chawa wangu watakuzingua", yaani watakuteka.
 
Samia gang, Samia squad, Samia watu wafupi, mama ongea na mwanao (waigizaji) Bado Samia comedians, Samia boxing, Samia maandazi, Samia, wafugaji, Samia watangazaji, Samia.... Samia... Samia....

Wakiwa wengi sana hawatalipwa vizuri
 
Kodi zetu zinatumika kiboya sana kumsifia Mzanzibari
 
Nimemuona luiza mbutu hapo katikati kawaje?!
 
ni kusanyiko la kizalendo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote

well done

Samia Squad Team​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…