PreGE2025 Samia Squad yaanzishwa, lengo kuu ni kumsifu Rais Samia ili kujipatia hela za kujikimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
N
Samia gang, Samia squad, Samia watu wafupi, mama ongea na mwanao (waigizaji) Bado Samia comedians, Samia boxing, Samia maandazi, Samia, wafugaji, Samia watangazaji, Samia.... Samia... Samia....

Wakiwa wengi sana hawatalipwa vizuri
Na walevi wa mama..!
 
watu wanaitaka kazi ya mpoto na chawa wa aina yake
 
Wakija kumdhihaki kuwa hawamwoni magetoni wanaanza kupiga kelele eti hawajui kuchekeshaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
mbaya zaidi hizi pesa wanazohongwa ni za mlipa kodi wa Tanganyika
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Namuona Kocha wa Dunia hapo, kule Ali Choki, huku Kalala Junior, pale Luiza Mbutu...... Hapo amekosekana BADI BAKULE aka JOGOO LA MUJINI
 
Kuna haja sasa ya watu wenye uelewa na maarifa kuingia kwenye active politics kuliokoa hili Taifa na huu ujinga.

Kukaa pembeni na kuona siasa hazituhusu ndio kunatokea shida kama hizi sasa.
Unataka Watekwe?
 
Aisee huku kuna Samia kalamu awards yaani hadi kero mambo ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…