Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hii nchi bado safari ni ndefumbaya zaidi hizi pesa wanazohongwa ni za mlipa kodi wa Tanganyika
Huyo said mdoe dili za kuprint kupitia kampuni yake ya screen masters zilishaota mbawa naona kaja kivingine sasa kaona Acha AsifieSijui hata wanachosifia ni vitu gani tu!
Nchi imejaa watu mazuzu sana hii.
Walipoenda hadi kwa Ftr.Kitima ndio nikajua hakuna aliyesalama, tusiogope tusinyamaze.Dah naumia Sana kuhusu huyu kamanda aisee, TAL anarudi kwenye jukwaa halafu anaambiwa mdude hatunaye so sad 😢
Hili ndilo liliniingia kichwani mara tu nilipofungua mada hiiMaskini Kodi zetu
"...madebe matupu ..." yatazuia kitu gani mkuu 'imho'!Walipoenda hadi kwa Ftr.Kitima ndio nikajua hakuna aliyesalama tusiogope tusinyamaze.
Mimi sasa mlango wangu nimeweka na madebe matupu old school alarm.
Hili ndilo liliniingia kichwani mara tu nilipofungua mada hii
Lakini sijui kama hizi zote ni pesa zetu zinazotapanywa hovyo hovyo hivi. Sehemu kubwa zinaweza kuwa zinatoka nje ya nchi. Kuna mataifa yanayowekeza sasa hivi kwa nguvu kuhakikisha Samia anaendelea kuwa njia yao ya kutununua na kutufanya watwana wao..
Huu ni aina ya ujasiriamali wa kitapeli.Najuta kuzaliwa Nchi yenu
Inasikitisha mkuu.Sijui hata wanachosifia ni vitu gani tu!
Nchi imejaa watu mazuzu sana hii.
Pesa za waarabu wa Dubai zimemlewesha mtu kama huyu hadi hajitambui kabisa sasa kuwa na yeye ni binaadam!
Squad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Mbona kuna Lissu Squad na Wana CCM hawalalamiki? Mfano, wewe Erythrocyte si ni mmoja wao?Squad hiyo imekusanya Wanamuziki kadhaa wakiwemo na wale waliochoka kama Mwinjuma Muumini, lengo ni kutunga nyimbo za kusifu na kuabudu kwa nia ya kupata hela za kulisha familia.
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3326364View attachment 3326365
Ujumbe: Ukiwa Mwanaccm halafu huna hela basi wewe utakuwa fala sana.
Nimetumbuiza ukumbi gani?Mbona kuna Lissu Squad na Wana CCM hawalalamiki? Mfano, wewe Erythrocyte si ni mmoja wao?
.... ya GERMANY wameelekezewa akina Kbtla ...Hela ya Mwarabu ni nyingi mko. Hawawezi kuimaliza. Waongeze bidii, Wajomba wametupamia.....!!
Wajerumani na wabelgj....Mbona kuna Lissu Squad na Wana CCM hawalalamiki? Mfano, wewe Erythrocyte si ni mmoja wao?
.... takatifuhii nchii hii nchii hii
....hayaaaaaaaa....Na Sisi wadau WA porn tunaomba tuanzishiwe Samia....18+
Kama
Samia kanga moja festival.
Samia nyege festival .