PreGE2025 Samia Squad yaanzishwa, lengo kuu ni kumsifu Rais Samia ili kujipatia hela za kujikimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shida ya watanzania wengi ni ROHO MBAYA,WIVU,CHUKI,na UCHOYO sasa hao wakosifu na kulipwa kunashida ipi
 
Samia gang, Samia squad, Samia watu wafupi, mama ongea na mwanao (waigizaji) Bado Samia comedians, Samia boxing, Samia maandazi, Samia, wafugaji, Samia watangazaji, Samia.... Samia... Samia....

Wakiwa wengi sana hawatalipwa vizuri
Kuna wengine watakuwa wanasonya kuona wanaongezeka bila mpango 🀣
 
Wapumbavu kabisa hawa… wakati hata pesa hawana! Let them waist their time , they will regret this! No election this year!
 
ukiwa na utawala uzembe makundi yakiwehu aina hiyo huwezi kosa ,tutaona hata yaitwayo kinyesi squad
 
basi wao wanajihisi wana akili sana, kuna bwege yule mafufu na wale mbilikimo fala sana
 
Ninamiliki silaha ya moto na huwa naichukua hata niwapo safarini, lakini ninashida moja ya usingizi mzito kwa sababu ya suppliments ninazotumia haswa magnesium ndio maana nikiwa home madebe must.😁
 
Kuna haja sasa ya watu wenye uelewa na maarifa kuingia kwenye active politics kuliokoa hili Taifa na huu ujinga.

Kukaa pembeni na kuona siasa hazituhusu ndio kunatokea shida kama hizi sasa.
Siasa imewabrainwash hadi wasomi
Vyuoni wamejaa machawa wanaoshadadia wakijua pengine watapata ajira, kumbe tabu ipo palepale .

Heche anasema badala mhamie upande wa watu wanaotoa sera nzuri za Ajira
Mmekaa kushangilia CCM,wakiwapa ubwabwa na kofia imetoka hiyo.

Kwahiyo ni hatari sana hata wasomi wasiojitambua wananashadadia mambo ya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…