figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Imeandika utumboSalaam Wakuu,
Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake.
Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo.
Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari. Ndivyo Mungu aliwaumba.
Huo kutoka Zanzibar tuonaooneshwa ndicho kilicho moyoni mwao. Hawana zaidi cha kuonesha..
Tunalilia Watoto wetu Watanganyika Wanaotekwa, kupotea na waliouawa 29 Oktoba 2025.
View attachment 3561409
https://www.facebook.com/Salaam Wakuu,
Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake.
Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo.
Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari. Ndivyo Mungu aliwaumba.
Huo kutoka Zanzibar tuonaooneshwa ndicho kilicho moyoni mwao. Hawana zaidi cha kuonesha..
Tunalilia Watoto wetu Watanganyika Wanaotekwa, kupotea na waliouawa 29 Oktoba 2025.
View attachment 3561409
Sasa mimi wapi nimesema ana upendo? Wana roho mbaya... Hawatupendi. Na kielelezo ni SamiaSamia hana upendo wowote na yeyote. Hata huko Zanzibar siamini kuwa anao upendo nao
Kama ninayo tofauti nawe ni hiyo ya kujumuisha kila mtu "hawatupendi" Hili hata siku moja sikubaliani nalo..Sasa mimi wapi nimesema ana upendo? Wana roho mbaya... Hawatupendi. Na kielelezo ni Samia
Sasa hivi ni taka takaMwananchi gazeti kwisha kazi
An evil woman will burn her country down to rule over the ashes
Upo sahihi... Kuwa na tofauti na mawazo ndo ubinadamu wenyewe. Mimi ndivyo nawaona na wewe ndivyo unawaona.. Wote tupo sahihi kwa mitazamo yetu.. Sitaki uwe mimi nawe usilazimishe niwe wewe.Kama ninayo tofauti nawe ni hiyo ya kujumuisha kila mtu "hawatupendi" Hili hata siku moja sikubaliani nalo..
Wazanzibar "wote" hawawezi kuwa na roiho ovu kama aliyonayo Samia; hili kamwe haliwezekani.
Utanisamehe mkuu 'figga', kwani najuwa hili siyo swala gumu sana kuelewa na kuleta kutoafikiana kati yetu.Upo sahihi... Kuwa na tofauti na mawazo ndo ubinadamu wenyewe. Mimi ndivyo nawaona na wewe ndivyo unawaona.. Wote tupo sahihi kwa mitazamo yetu.. Sitaki uwe mimi nawe usilazimishe niwe wewe.
Unayohaki kabisa ya kumchukia Samia na Genge lake lote kama ninavyowachukia mimi; na siyo lazima iwe kwa uzanzibar wake.Hata Mungu anatuadhibu sisi kwa Makosa ya Adam na Eva. Hata mimi nawachukia Zanzibari kwa Makosa ya Samia Suluhu Hassan. Katuua sana Watanganyika. Hata Vita ya Kagera ya mwaka mzima, haikuua watu kama samia alioua kwa Siku 4
Hapa umeniacha. Mimi sijawachukia sababu ya Zanzibar wao bali sababu ni damu moja na Samia..Hawa siwezi kuwapenda kwa sababu tu ya uTanganyika wao na kuwachukia wazanzibar ambao hawana uhusika wowote katika jambo kama hilo.
EEEEeeenHEEEEEee!Hapa umeniacha. Mimi sijawachukia sababu ya Zanzibar wao bali sababu ni damu moja na Samia..
Tunakwama kwa waTanganyika wanaomsaidia kukaa madarakani kwa mabavu.Huyu form 4 faulire inakuwaje atutawale watanganyika, tunakwama wapi wazee?!.
andika maini tuone!Imeandika utumbo