Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
una ushahidi gani? Unaishi nao wote?Kama ninayo tofauti nawe ni hiyo ya kujumuisha kila mtu "hawatupendi" Hili hata siku moja sikubaliani nalo..
Wazanzibar "wote" hawawezi kuwa na roiho ovu kama aliyonayo Samia; hili kamwe haliwezekani.
we jamaa mbona unalizimisha tuone kama unavyoona wewe? Wewe ni one against millions! Au umeoa/olewa zanzibar?EEEEeeenHEEEEEee!
Sijacheka hivi siku nyingi; 'actually' tokea mwaka huu uanze!
Kwa hili inanibidi nikubali; kwamba uovu wa Samia unalazimisha watu wauone kwa jicho la anakotokea yeye zaidi kuliko kwa nafsi yake mwenyewe.
Hasira za aina hii zinapopungua; binaadam yeyote huona ukweli kwamba Samia siyo wazanzibar wote.
Tunao wabovu kama alivyo yeye hapahapa Tanganyika.
Najuwa hutasema kuwa Kikwete ni sampuli inayowasilisha waTanganyika wote. Ukimchukia Kikwete kwa uovu wake; haina maana umewachukia waTanganyika wote.
Kuwachukia wazanzibar wote hakutatusaidia waTanganyika kuleta mabadiliko toka kwa hawa waovu.
Tutawachukia waovu wote bila kujali wanatokea wapi.
Uovu wa Samia sasa hivi unalindwa na kuendelezwa na waTanganyika; tupambane na hao.
Mimi nimeishia kusoma kwenye hio nyundo. Nikafunga gazette.Tunalilia Watoto wetu Watanganyika Wanaotekwa, kupotea na waliouawa 29 Oktoba 2025.
Kwanini unasoma utumbo Mkuu?Imeandika utumbo
Hawa inatakiwa wafyekwe
Limeshaingia mikononi mwa manyang'auMwananchi gazeti kwisha kazi
Kwa sababu unasomekaKwanini unasoma utumbo Mkuu?
Limekuwa la udaku, bora limilikiwe na Shigongo tujue moja.Sasa hivi ni taka taka
Wewe ni mpumbavu. Tena hata huelewi unachosoma.we jamaa mbona unalizimisha tuone kama unavyoona wewe? Wewe ni one against millions! Au umeoa/olewa zanzibar?
kilaza mwenyewe!π‘π‘π‘π‘Wewe ni mpumbavu. Tena hata huelewi unachosoma.
Inawezekana ni kutokana na ufinyo wa elimu uliyonayo.
Sihangaiki na vilaza wa aina yako.
Ni vizuri umeelewa nilichoandika hapo kukuhusu wewe.kilaza mwenyewe!π‘π‘π‘π‘
Go to hell!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘Ni vizuri umeelewa nilichoandika hapo kukuhusu wewe.
Usinipotezee muda zaidi.
I don't see how Heaven belongs to you!Go to hell!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
go to hell sucker πππππππI don't see how Heaven belongs to you!
scumbaggo to hell sucker πππππππ