Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,090
- 22,803
Bibi alidinda kusepa.
Bibi alidinda kusepa.
Wanaukumbi.
Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa kuteuliwa kwa mgombea mmoja haimaanishi kukandamiza demokrasia, bali ni matokeo ya mshikamano wa chama na imani kwa uongozi uliopo.
Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.
CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:
Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.
Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.
Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.
Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.
Hatumtaki kahaba wenu kwanza hapendwi... tofauti na Magu alipokufa watu 45 walipoteza maisha pale uwanja wa Mkapa wakiomboleza huyo akifa hapatakuwa na huzuni maana huyu hajagusa mioyo ya watanzania ila ataombolezwa na machawa na vilamba mavi km ww !We acha upumbavu, Polepole aliokotwa tu Magu, wenzako tulinaijua CCM kindakindaki tulianza tukiwa chipukizi wa CCM, baadaye umoja wa vijana mpk utuzima, Polepole anaijua katiba kuzidi wengine kwa kuwa aliwahi kuwa mwenezi au? We upuuzi.
Hizo ni fikra zako….Ukweli ni kuwa kama Makamu atachukua Urais na kuhudumu Kwa zaidi ya miaka mitatu, basi atahesabika amefanya kazi Kwa mhula mzima wa miaka mitano.
Hivyo Samia hiki ni kipindi chake Cha mwisho na si Cha mwanzo!
2. Mfano Hai: Mchakato wa Mwaka 2020You are missing the point. Swala siyo kuptishwa kama mgombea pekee. Tatizo kupindisha kanuni za uteuzi kulingana na katiba ya chama. Kibajaji na Ngwazi, yule binti wa Mwanza walimshauri afuate utaratibu akawapuuza. What goes around comes around.
By the way, Kikwete alimfanyia figisu Shibuda ili awe mgombea pekee. Magufuli alimfanyia figisu Membe ili awe mgombea pekee. Huo utamaduni mnaodai ni wa kulazimisha.
naam kwamba wajipange huko 2030 tu 😁Ukweli ni kuwa kama Makamu atachukua Urais na kuhudumu Kwa zaidi ya miaka mitatu, basi atahesabika amefanya kazi Kwa mhula mzima wa miaka mitano.
Hivyo Samia hiki ni kipindi chake Cha mwisho na si Cha mwanzo!
Katiba ya CCM na Uteuzi wa Mgombea UraisSi uweke hiyo Katiba/Kipengele tukione, au ni siri mkuu! 😁
inabidi wakubali SSH ni mgombea halali tu --- wanaolalamika wahuni wanataka kuwa wahuni 😁You are missing the point. Swala siyo kuptishwa kama mgombea pekee. Tatizo kupindisha kanuni za uteuzi kulingana na katiba ya chama. Kibajaji na Ngwazi, yule binti wa Mwanza walimshauri afuate utaratibu akawapuuza. What goes around comes around.
By the way, Kikwete alimfanyia figisu Shibuda ili awe mgombea pekee. Magufuli alimfanyia figisu Membe ili awe mgombea pekee. Huo utamaduni mnaodai ni wa kulazimisha.
2. Mfano Hai: Mchakato wa Mwaka 2020
Katika mwaka 2020, Hayati John Pombe Magufuli alipitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa nafasi ya urais kwa kipindi cha pili. Mchakato huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na bila upinzani ndani ya chama — hali ambayo ilionyesha umoja na mshikamano wa CCM nyuma ya mgombea aliyekuwepo madarakani.
Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.
3. Uhalali wa Rais Samia Kwa Mujibu wa Historia ya CCM
CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:
Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.
Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.
Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.
Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.
inabidi wakubali SSH ni mgombea halali tu --- wanaolalamika wahuni wanataka kuwa wahuni 😁
kuna kundi halitaki awe mgombea urais wa 2025 -- na kwa kawaida yao ndo asiwe rais wa nchi kwa 2025Sawa. Ila ni kwa nini snaiohopa nomination process.
Binafsi so far simuoni mtu potential kwa sasa zaidi yake ndani ya CCM.
Hii ndio shida ya CHADOMO..naona wameachana na chama chao wamedandia tukio. Yaani kwa takriban wiki 1 hatawasikii wakihoji issues za chama chao wala Mwenyekiti wao..wao wako na mambo ya CCM tu. Hovyo kabisa hawa watu.Fomu ya nini we kibwengo? We pambana na nyumbu wenzio, CCM waachie mambo yao.
Erythrocyte mkuu na imani wewe ni kada mtiifu - fikisha hili ngazi za juu huko.Hii ndio shida ya CHADOMO..naona wameachana na chama chao wamedandia tukio. Yaani kwa takriban wiki 1 hatawasikii wakihoji issues za chama chao wala Mwenyekiti wao..wao wako na mambo ya CCM tu. Hovyo kabisa hawa watu.
ANANUKA ANANUKAWanaukumbi.
Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa kuteuliwa kwa mgombea mmoja haimaanishi kukandamiza demokrasia, bali ni matokeo ya mshikamano wa chama na imani kwa uongozi uliopo.
Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.
CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:
Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.
Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.
Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.
Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.
IKULU NI SEHEMU TAKATIFU SIYO PANGO LA WAHUNI NA MAKAHABA NI KANENO YA NYEREREWe una hangaika bure hayo yote wanayajua issue ni kwamba kifo cha Magu kimeharibu mipango yao. Wana mtu wao hao wanaolialia sasa wanaona mpk 2030 mambo mengi yatakuwa yameshabadilika. Hakuna anayelinda katiba hapo hao wanafikiria kutumia matumbo. Kwanza hawakutaka kabisa Samia awe Rais walitaka kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania waziwazi, leo ndio wanajua katiba ya chama? Wanafki wakuda hao. Pili hawakutegemea pengine km angegombea mwaka huu 2025, sasa ndio wamepanic kabisa, Samia kwa uwezo mkubwa aliouonesha ningesikitika sana binafsi km asingegombea, huyu mama ametuliza nchi, ameunganisha nchi, hana ukabila, hana ukanda, maendeleo anayapeleka mikoa na kanda zote bila ubaguzi, watanzania tunataka turudi kwa mtu km yule mbaguzi?, aliigawa nchi ktk kanda, alieneza ukabila waziwazi ndio maana mara baada ya kufa tu mitandao ilijaa post za kikanda, za kikabila. Magufuli leo hii nchi ingeshaparanganyika, aliigawa nchi. Tumshukuru Mungu kutupatia Samia tuwapuuze hao washenzi.
Jibu swali bossNaona unatafuta basha kwa nguvu mimi na machoko mbalimbali.
Mbona hamna hoja hapo?Erythrocyte mkuu na imani wewe ni kada mtiifu - fikisha hili ngazi za juu huko.
maana wakimaliza tofauti zao watalitumia jambo hili kama mtaji wa kisiasa - maoni