Uwezo mdogo!Huyu Mama toka day 1 anapigwa vita sana. Lakini YEYE aliyemuweka hapo alipo, hatamuacha.
Mkutano Mkuu, hata ajenda tu ya kumpitisha mgombea haikuwepo. Wajumbe hawakuwa na taarifa ya jambo hilo kujadiliwa, na hata kutajwa tu kwenye mkutano huo!Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa kuteuliwa kwa mgombea mmoja haimaanishi kukandamiza demokrasia, bali ni matokeo ya mshikamano wa chama na imani kwa uongozi uliopo
"Huu uzi mzito..."? HAAAAaa!Huu uzi mzito sana kwako nakushauri tu rudi kwenye mipasho au endelea kuwa msomaji.
Samia "alipitia vikao halali gani vya chama" na jina lake kupitishwa?Ibara ya 40 inaeleza utaratibu wa uteuzi kuwa ni kupitia vikao halali vya chama, ambapo jina la mgombea hupitishwa baada ya mchakato wa ndani, ikiwa ni pamoja na mapendekezo kutoka mikoa, Kamati Kuu (CC), na hatimaye NEC na Mkutano Mkuu.
Unaelewa unachokisema kweli?Ewaaah !
Na huo ndio Ukweli mchungu !
Ndio maana tunawaambia wanafiki wenye kumsagia kunguni huko Chamani kwamba wakae kwa kutulia !
Kwa maana hakuna mahali Katiba imevunjwa 😄🤷🏿♂️👍
Alichaguliwa lini kuwa Rais kwa huo muhula wa kwanza unaousema? Samia aliapishwa kuwa Rais kumalizia awamu ya Tano ya Urais baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kufariki, na hiyo ni kwa Mujibu wa katiba.2. Mfano Hai: Mchakato wa Mwaka 2020
Katika mwaka 2020, Hayati John Pombe Magufuli alipitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa nafasi ya urais kwa kipindi cha pili. Mchakato huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na bila upinzani ndani ya chama — hali ambayo ilionyesha umoja na mshikamano wa CCM nyuma ya mgombea aliyekuwepo madarakani.
Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.
3. Uhalali wa Rais Samia Kwa Mujibu wa Historia ya CCM
CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:
Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.
Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.
Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.
Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.
watakuja kujisifu baadae kwamba CCM ni moja na ina uimara na tofauti zao ni kipindi cha kupata mgombea tu baada ya hapo wapo pamoja -- sio kama wale wengine (chadema) kutwa walikua wanatufatilia sisi wakakosa hata muda wa kujenga chama chao, angalia kwa mfano mwenyekiti wao alikua na kesi mahakamani( muda huo TAL atakua kasharudi uraiani) lakini mwenyekiti mstaaffu wao hakwenda kutoa support mahakamani lakini kwa nguvu na ukubwa wa ccm alifika kuhudhuria uzinduzi wa dira --- siii siiemu oyeee --- oyeeeMbona hamba hoja hapo?
ule ndo muhula wake wa kwanza according to katiba ya nchiAlichaguliwa lini kuwa Rais kwa huo muhula wa kwanza unaousema? Samia aliapishwa kuwa Rais kumalizia awamu ya Tano ya Urais baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kufariki, na hiyo ni kwa Mujibu wa katiba.
Na bahati nzuri sana, ukimuacha Polepole HAKUNA Mwana CCM anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa CCM. Kinachoshangaza sana, wanaopinga ni Wana Chadema ambao wao kwanza wamesema HAWASHIRIKI Uchaguzi Mkuu,lakini ndio wamekuwa mstari wa mbele kufuatilia kwa karibu mchakato wa CCM kutafuta wagombea wao! Mambo ya ajabu kabisa!!Wanaukumbi.
Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa kuteuliwa kwa mgombea mmoja haimaanishi kukandamiza demokrasia, bali ni matokeo ya mshikamano wa chama na imani kwa uongozi uliopo.
Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.
CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:
Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.
Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.
Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.
Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.
Jamaa akusemehe bure maana ww ni mzee, wewe ni tunda la propaganda za zamani, kwenye dunia hii digital ww ni bendera fuata upepo hujui lolote.Wewe punguani kweli kosa langu lipo wapi?
Hawapambanii bali wanawazodoa mlivyo analogia kwenye ulimwengu huu digital. Yaani usidhani mnafuatiliwa kwa ubora, bali ni kwa ajili ya kuwadhihaki. Na uzuri mnajaa vizuri kwenye mfumo, maana huku hamna nguvu ya vyombo vya dola.Cha kufurahisha ni kuona wafuasi wa Chadema wamejikita kupambania uchaguzi wa CCM.😀