GE2025 Samia Suluhu Hassan ni Mgombea Halali Kikatiba na kihistoria

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

You are missing the point. Swala siyo kuptishwa kama mgombea pekee. Tatizo kupindisha kanuni za uteuzi kulingana na katiba ya chama. Kibajaji na Ngwazi, yule binti wa Mwanza walimshauri afuate utaratibu akawapuuza. What goes around comes around.

By the way, Kikwete alimfanyia figisu Shibuda ili awe mgombea pekee. Magufuli alimfanyia figisu Membe ili awe mgombea pekee. Huo utamaduni mnaodai ni wa kulazimisha.
 
We acha upumbavu, Polepole aliokotwa tu Magu, wenzako tulinaijua CCM kindakindaki tulianza tukiwa chipukizi wa CCM, baadaye umoja wa vijana mpk utuzima, Polepole anaijua katiba kuzidi wengine kwa kuwa aliwahi kuwa mwenezi au? We upuuzi.
Hatumtaki kahaba wenu kwanza hapendwi... tofauti na Magu alipokufa watu 45 walipoteza maisha pale uwanja wa Mkapa wakiomboleza huyo akifa hapatakuwa na huzuni maana huyu hajagusa mioyo ya watanzania ila ataombolezwa na machawa na vilamba mavi km ww !
 
Ukweli ni kuwa kama Makamu atachukua Urais na kuhudumu Kwa zaidi ya miaka mitatu, basi atahesabika amefanya kazi Kwa mhula mzima wa miaka mitano.

Hivyo Samia hiki ni kipindi chake Cha mwisho na si Cha mwanzo!
Hizo ni fikra zako….

Katika mazingira ya Rais aliyepo madarakani, hasa katika kipindi cha muhula wake wa kwanza, historia inaonyesha kuwa CCM imekuwa ikiteua mgombea huyo kuwa mgombea pekee kwa kipindi cha pili — hali hii si mpya, si haramu, na wala haijakiuka Katiba ya chama.
 
2. Mfano Hai: Mchakato wa Mwaka 2020

Katika mwaka 2020, Hayati John Pombe Magufuli alipitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa nafasi ya urais kwa kipindi cha pili. Mchakato huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na bila upinzani ndani ya chama — hali ambayo ilionyesha umoja na mshikamano wa CCM nyuma ya mgombea aliyekuwepo madarakani.

Humphrey Polepole, ambaye kwa wakati huo alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, na mjumbe wa vikao vya juu vya chama, aliunga mkono mchakato huo bila kupinga kwamba ulikuwa “haramu” au wa kibaguzi kisiasa. Hivyo basi, endapo anahoji uhalali wa Rais Samia kuwa mgombea pekee leo, anapaswa pia kuhoji uhalali wa mchakato wa Magufuli mwaka 2020 — ambao yeye binafsi aliushiriki kikamilifu.

3. Uhalali wa Rais Samia Kwa Mujibu wa Historia ya CCM

CCM kwa miaka yote imekuwa na utaratibu usioandikwa moja kwa moja, lakini uliojengeka kwa misingi ya muendelezo wa uongozi uliopo madarakani. Mifano ya kihistoria ni kama ifuatavyo:

Mwaka 1995 na 2000: Benjamin Mkapa alipata uteuzi wa pili bila upinzani mkubwa ndani ya chama.

Mwaka 2005 na 2010: Jakaya Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama kuwa mgombea kwa vipindi vyake viwili bila upinzani wa maana.

Mwaka 2015 na 2020: Hayati Magufuli alipendekezwa na chama kwa vipindi viwili. Kipindi cha pili akiwa mgombea pekee, bila kupingwa ndani ya chama.

Utaratibu huu unaonyesha kuwa ndani ya CCM, rais aliyeko madarakani kwa muhula wa kwanza huwa na nafasi ya kupitishwa kuwa mgombea pekee, kama anatimiza masharti ya kikatiba na hajatenda kosa la kimaadili au kisiasa lililofifisha imani ya chama kwake.
 
Si uweke hiyo Katiba/Kipengele tukione, au ni siri mkuu! 😁
 
Ukweli ni kuwa kama Makamu atachukua Urais na kuhudumu Kwa zaidi ya miaka mitatu, basi atahesabika amefanya kazi Kwa mhula mzima wa miaka mitano.

Hivyo Samia hiki ni kipindi chake Cha mwisho na si Cha mwanzo!
naam kwamba wajipange huko 2030 tu 😁
 
Si uweke hiyo Katiba/Kipengele tukione, au ni siri mkuu! 😁
Katiba ya CCM na Uteuzi wa Mgombea Urais

Kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 (Toleo la 2022):

Ibara ya 39(1) inasema:
“Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba ya CCM hupendekezwa na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na kuidhinishwa na Mkutano Mkuu wa Taifa.”

Ibara ya 40 inaeleza utaratibu wa uteuzi kuwa ni kupitia vikao halali vya chama, ambapo jina la mgombea hupitishwa baada ya mchakato wa ndani, ikiwa ni pamoja na mapendekezo kutoka mikoa, Kamati Kuu (CC), na hatimaye NEC na Mkutano Mkuu.

Katika mazingira ya Rais aliyepo madarakani, hasa katika kipindi cha muhula wake wa kwanza, historia inaonyesha kuwa CCM imekuwa ikiteua mgombea huyo kuwa mgombea pekee kwa kipindi cha pili — hali hii si mpya, si haramu, na wala haijakiuka Katiba ya chama.
 
inabidi wakubali SSH ni mgombea halali tu --- wanaolalamika wahuni wanataka kuwa wahuni 😁
 
Sawa. Kwa Mkapa slichaguliwa bila upinzani mkubwa ndani ya chama, kwa Kikwete alipendekezwa na vikao vya chama na kwa Magufuli akiwa mhombea pekee. Je kwa Maza vikao gani au mchakato gani umetumika?

Huo taratibu wa unamuhusu Kiongozi aliyewahi kuomba na kupitishwa na vikso vya chama. Maza hajawahi hata kutamka kuwa anataka kugombea wala kusema ana nia hiyo hadharani. Inawezekana kabisa kuna kikundi kinamlazimisha.
 
inabidi wakubali SSH ni mgombea halali tu --- wanaolalamika wahuni wanataka kuwa wahuni 😁

Sawa. Ila ni kwa nini snaiohopa nomination process.

Binafsi so far simuoni mtu potential kwa sasa zaidi yake ndani ya CCM.
 
Reactions: Lax
Sawa. Ila ni kwa nini snaiohopa nomination process.

Binafsi so far simuoni mtu potential kwa sasa zaidi yake ndani ya CCM.
kuna kundi halitaki awe mgombea urais wa 2025 -- na kwa kawaida yao ndo asiwe rais wa nchi kwa 2025

wote wanajua wanachofanya mkuu 😁

sisi wengine watizamaji
 
Fomu ya nini we kibwengo? We pambana na nyumbu wenzio, CCM waachie mambo yao.
Hii ndio shida ya CHADOMO..naona wameachana na chama chao wamedandia tukio. Yaani kwa takriban wiki 1 hatawasikii wakihoji issues za chama chao wala Mwenyekiti wao..wao wako na mambo ya CCM tu. Hovyo kabisa hawa watu.
 
Erythrocyte mkuu na imani wewe ni kada mtiifu - fikisha hili ngazi za juu huko.

maana wakimaliza tofauti zao watalitumia jambo hili kama mtaji wa kisiasa - maoni
 
ANANUKA ANANUKA

View: https://youtu.be/3rmxx-R44Gk?si=v0bwRZ9XNLZsW9L2
 
IKULU NI SEHEMU TAKATIFU SIYO PANGO LA WAHUNI NA MAKAHABA NI KANENO YA NYERERE

View: https://youtu.be/3rmxx-R44Gk?si=v0bwRZ9XNLZsW9L2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…