Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Niwaulize nyie mnaoanza na mungu na kumaliza na mungu ni mungu yupi huyo anayewaacha mlielie kila siku. Au ni yule mungu wenu wa faragha za jinsia moja?
Mungu aliye hai hashindwagi
mama D kama kuna mtanzania anamdharau rais basi huyo atakuwa na upungufu wa akili kichwani. Rais ni mamlaka, rais ndiye kila kitu kwa nchi. Hivi unapata wapi akili ya kumdharau au kumdhihaki? Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpinga??? Nashani kama kuna watu wanampinga Mama waache. Tuungane juijenga Tanzania.Kumbe wewe mgeni eeeh?
Hata kama iweje awezi kukubalika na wote musilazimishe apendwe wakati wanaomchukia wanaongezeka kwa ufupi haeleweki mtaanimama D kama kuna mtanzania anamdharau rais basi huyo atakuwa na upungufu wa akili kichwani. Rais ni mamlaka, rais ndiye kila kitu kwa nchi. Hivi unapata wapi akili ya kumdharau au kumdhihaki? Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpinga??? Nashani kama kuna watu wanampinga Mama waache. Tuungane juijenga Tanzania.
Raisi yoyote ana dharauliwa kwa upumbavu wake mwenyeweWatanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Mpaka hapo haujagundua kwamba umemuuliza maswali yaliyomzidi uwezo wake wa kufikiriHayo siyo majibu ya maswali niliyokuuliza
Kwani nani anaepinga kwamba sio rais wetu ,? akosolewe pale asipofanya vizuri na apongezwe pale anapofanya vizuri, ila sio sifia sifia kila kitu , sawa MAMA DWatanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Hao wote uliowataja umri umeenda hawana matumaini tena ya kuishiNaungana na wewe kwa asilimia zote zinazofahamika kwenye hesabu! Nna uhakika hata wakosoaji wake wanampenda sana ndo maana wanakosoa ili arudi kwenye mstari! Huu kwangu mim ni upendo na heshima ya hali ya juu sana. Tatizo ni kwamba wao wamejenga dhana kwamba ni makosa au uhalifu kukosoa mamlaka! Wao wameamua kuwa mtu anayewakosoa adhabu yake kuumizwa au kufarikishwa kabisa ili kusiwe na upendo kwetu! sisi na wao kama taasisi! Cha msingi taasisi irudi kwenye mstari ikikosolewa maana yake inashauriwa vyema! wakina kiturilo, john mbatizaji, jinga lao, pascal mayala etc ndio wanaomtukanisha Rais wa nchi kwa post zao zilizojaa kujipendekeza, majungu,unafik na ushirikina!
Tushirikiane jamani tumpende Mama, mbona yupo poa tu. Mimi naona ni rais jasiri sana tena sana. Kwanza ameweza kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi ndani ya muda mfupi pamoja na kuomboleza. Nakuomba mdau tumia ushawishi wako watu wamkubali Mama. Inaumiza sana mnapokuwa na chuki na mtu ilhali hajawakosea.Hata kama iweje awezi kukubalika na wote musilazimishe apendwe wakati wanaomchukia wanaongezeka kwa ufupi haeleweki mtaani
Mbowe sio gaidi,Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Achana na wavuta Bangi wa aina hiiNitakuja kukujibu kesho kwa uzuriiiii tukijaliwa
Maana kama unaamini Mungu yupo huku unamfanya Mungu mdogo wako ni hatari
Tushirikiane jamani tumpende Mama, mbona yupo poa tu. Mimi naona ni rais jasiri sana tena sana. Kwanza ameweza kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi ndani ya muda mfupi pamoja na kuomboleza. Nakuomba mdau tumia ushawishi wako watu wamkubali Mama. Inaumiza sana mnapokuwa na chuki na mtu ilhali hajawakosea.
Wanaomtukana Rais ni wafuasi wa magufuli,Hawa wanafadhiliwa na Humphrey,na bashite,Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Kundi la tatu Ni wale wenye mentality za udini,wanatamani daima aongoze mkristo, Hawa Ni wachache katika wengiKuna makundi matatu yasiyotaka kukubali jitihada za Mh. Rais. La kwanza ni lile la wafuasi kindaki ndaki wa hayati John P. Magufuli. Hili lina sababu nyingi.
Kwanza wanahofu uwepo wa Mama Samia utafuta na kufunika jitihada na mafanikio ya Mwendazake ambayo ametekeleza au kuyafanya akiwa Rais. Marehemu alikuwa fahari yao na kipimo cha mafanikio katika uongozi. Hawa wengi ni ndugu zetu........ Lakini pia wameathiriwa na matendo,maneno na mtazamo wa Hayati John P. Magufuli. Bado wanaishi nae. Pia wameathiriwa na mwanaharakati wa mitandaoni Veronica France. Wanaamini Mwendazake ameuawa! Hakufa kifo cha kawaida. Wanaamini kuwa mabeberu au wanasiasa wa ndani wamehusika. Na aliewashuku Veronica France wamekuwa wakipata mashambulizi au shutuma za wazi kwenye akaunti zao mitandaoni. Au wanapoteuliwa kushika nafasi.
Kundi la pili ni wanachama,wafuasi na mashabiki wa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA. Ni kawaida kisiasa chama pinzani kukosoa. Mwanzo walipata nafuu na kufarijika, hasa kutokana na madhira waliyopata kipindi cha awamu ya tano. Wakafurahia kifo cha hayati JPM. Wakamfurahia Mama Samia. Hotuba zake za mwanzo ziliungwa mkono. Wakataka kushurutisha ajenda zao! Katiba ikiwa kuu. Lakini kiustaarabu wakajibiwa kwamba katiba itasubiri. Hawakuwahi tayari kukubali wakaanza harakati. Mama Samia pengine akaona kama dharau! Mwenyekiti wao Mbowe akakamatwa. Hapo chuki dhidi ya Rais ikaibuka ghafla! Kila alilolifanya wanalikosoa. Wengi ni ndugu zetu wa......!
Kundi la tatu ni sababu tu ya tofauti ya kile wanachoamini...!