Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

Nadhan utoto unakusumbua,jibu swali Mungu anaruhusu kuiba kura?????
Niwaulize nyie mnaoanza na mungu na kumaliza na mungu ni mungu yupi huyo anayewaacha mlielie kila siku. Au ni yule mungu wenu wa faragha za jinsia moja?

Mungu aliye hai hashindwagi
 
Kumbe wewe mgeni eeeh?
mama D kama kuna mtanzania anamdharau rais basi huyo atakuwa na upungufu wa akili kichwani. Rais ni mamlaka, rais ndiye kila kitu kwa nchi. Hivi unapata wapi akili ya kumdharau au kumdhihaki? Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpinga??? Nashani kama kuna watu wanampinga Mama waache. Tuungane juijenga Tanzania.
 
Afanye mema na aondoe mikodi ya ajabu wanayoita tozo watakaomuombea watakua wengi, pia mwambie aache umama na mambo yake ya gender atambue yeye rais
 
mama D kama kuna mtanzania anamdharau rais basi huyo atakuwa na upungufu wa akili kichwani. Rais ni mamlaka, rais ndiye kila kitu kwa nchi. Hivi unapata wapi akili ya kumdharau au kumdhihaki? Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpinga??? Nashani kama kuna watu wanampinga Mama waache. Tuungane juijenga Tanzania.
Hata kama iweje awezi kukubalika na wote musilazimishe apendwe wakati wanaomchukia wanaongezeka kwa ufupi haeleweki mtaani
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Raisi yoyote ana dharauliwa kwa upumbavu wake mwenyewe
 
Ni raisi asiyeelewa kuwa nafasi aliyopo haiangalii hapo kati kuna mwanya au dole. Mambo ya gender kwenye kila hotuba zake yanakera sana. Kama kweli anajiamini aache mara moja kulinganisha na kutofautisha jinsi, hazina maana katika utendaji, zaidi sana sisi tunaona inferiority complex ndani yake.

Mwisho kabisa, hatuko tayari kutawaliwa na mwanamke, mama wa demokrasia duniani mwenyewe hajawa tayari kuwa chini ya kiongozi mwanamke.
 
Naungana na wewe kwa asilimia zote zinazofahamika kwenye hesabu! Nna uhakika hata wakosoaji wake wanampenda sana ndo maana wanakosoa ili arudi kwenye mstari! Huu kwangu mim ni upendo na heshima ya hali ya juu sana. Tatizo ni kwamba wao wamejenga dhana kwamba ni makosa au uhalifu kukosoa mamlaka! Wao wameamua kuwa mtu anayewakosoa adhabu yake kuumizwa au kufarikishwa kabisa ili kusiwe na upendo kwetu! sisi na wao kama taasisi! Cha msingi taasisi irudi kwenye mstari ikikosolewa maana yake inashauriwa vyema! wakina kiturilo, john mbatizaji, jinga lao, pascal mayala etc ndio wanaomtukanisha Rais wa nchi kwa post zao zilizojaa kujipendekeza, majungu,unafik na ushirikina!
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Kwani nani anaepinga kwamba sio rais wetu ,? akosolewe pale asipofanya vizuri na apongezwe pale anapofanya vizuri, ila sio sifia sifia kila kitu , sawa MAMA D
 
Naungana na wewe kwa asilimia zote zinazofahamika kwenye hesabu! Nna uhakika hata wakosoaji wake wanampenda sana ndo maana wanakosoa ili arudi kwenye mstari! Huu kwangu mim ni upendo na heshima ya hali ya juu sana. Tatizo ni kwamba wao wamejenga dhana kwamba ni makosa au uhalifu kukosoa mamlaka! Wao wameamua kuwa mtu anayewakosoa adhabu yake kuumizwa au kufarikishwa kabisa ili kusiwe na upendo kwetu! sisi na wao kama taasisi! Cha msingi taasisi irudi kwenye mstari ikikosolewa maana yake inashauriwa vyema! wakina kiturilo, john mbatizaji, jinga lao, pascal mayala etc ndio wanaomtukanisha Rais wa nchi kwa post zao zilizojaa kujipendekeza, majungu,unafik na ushirikina!
Hao wote uliowataja umri umeenda hawana matumaini tena ya kuishi
 
Hata kama iweje awezi kukubalika na wote musilazimishe apendwe wakati wanaomchukia wanaongezeka kwa ufupi haeleweki mtaani
Tushirikiane jamani tumpende Mama, mbona yupo poa tu. Mimi naona ni rais jasiri sana tena sana. Kwanza ameweza kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi ndani ya muda mfupi pamoja na kuomboleza. Nakuomba mdau tumia ushawishi wako watu wamkubali Mama. Inaumiza sana mnapokuwa na chuki na mtu ilhali hajawakosea.
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Mbowe sio gaidi,
 
Kuna makundi matatu yasiyotaka kukubali jitihada za Mh. Rais. La kwanza ni lile la wafuasi kindaki ndaki wa hayati John P. Magufuli. Hili lina sababu nyingi.

Kwanza wanahofu uwepo wa Mama Samia utafuta na kufunika jitihada na mafanikio ya Mwendazake ambayo ametekeleza au kuyafanya akiwa Rais. Marehemu alikuwa fahari yao na kipimo cha mafanikio katika uongozi. Hawa wengi ni ndugu zetu........ Lakini pia wameathiriwa na matendo,maneno na mtazamo wa Hayati John P. Magufuli. Bado wanaishi nae. Pia wameathiriwa na mwanaharakati wa mitandaoni Veronica France. Wanaamini Mwendazake ameuawa! Hakufa kifo cha kawaida. Wanaamini kuwa mabeberu au wanasiasa wa ndani wamehusika. Na aliewashuku Veronica France wamekuwa wakipata mashambulizi au shutuma za wazi kwenye akaunti zao mitandaoni. Au wanapoteuliwa kushika nafasi.

Kundi la pili ni wanachama,wafuasi na mashabiki wa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA. Ni kawaida kisiasa chama pinzani kukosoa. Mwanzo walipata nafuu na kufarijika, hasa kutokana na madhira waliyopata kipindi cha awamu ya tano. Wakafurahia kifo cha hayati JPM. Wakamfurahia Mama Samia. Hotuba zake za mwanzo ziliungwa mkono. Wakataka kushurutisha ajenda zao! Katiba ikiwa kuu. Lakini kiustaarabu wakajibiwa kwamba katiba itasubiri. Hawakuwahi tayari kukubali wakaanza harakati. Mama Samia pengine akaona kama dharau! Mwenyekiti wao Mbowe akakamatwa. Hapo chuki dhidi ya Rais ikaibuka ghafla! Kila alilolifanya wanalikosoa. Wengi ni ndugu zetu wa......!

Kundi la tatu ni sababu tu ya tofauti ya kile wanachoamini...!
 
Mtu kukosolewa haimaanishi hapendwi, zaidi sana katika taifa linalojiita la kidemokrasia.
Tushirikiane jamani tumpende Mama, mbona yupo poa tu. Mimi naona ni rais jasiri sana tena sana. Kwanza ameweza kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi ndani ya muda mfupi pamoja na kuomboleza. Nakuomba mdau tumia ushawishi wako watu wamkubali Mama. Inaumiza sana mnapokuwa na chuki na mtu ilhali hajawakosea.
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Wanaomtukana Rais ni wafuasi wa magufuli,Hawa wanafadhiliwa na Humphrey,na bashite,

Pia Wengine wanaomtukana Rais ni baadhi ya wajinga wenye mentality za udini, wao kwao wanatamani nchi hiwe au iongozwe na mkristo tu daima
 
Kuna makundi matatu yasiyotaka kukubali jitihada za Mh. Rais. La kwanza ni lile la wafuasi kindaki ndaki wa hayati John P. Magufuli. Hili lina sababu nyingi.

Kwanza wanahofu uwepo wa Mama Samia utafuta na kufunika jitihada na mafanikio ya Mwendazake ambayo ametekeleza au kuyafanya akiwa Rais. Marehemu alikuwa fahari yao na kipimo cha mafanikio katika uongozi. Hawa wengi ni ndugu zetu........ Lakini pia wameathiriwa na matendo,maneno na mtazamo wa Hayati John P. Magufuli. Bado wanaishi nae. Pia wameathiriwa na mwanaharakati wa mitandaoni Veronica France. Wanaamini Mwendazake ameuawa! Hakufa kifo cha kawaida. Wanaamini kuwa mabeberu au wanasiasa wa ndani wamehusika. Na aliewashuku Veronica France wamekuwa wakipata mashambulizi au shutuma za wazi kwenye akaunti zao mitandaoni. Au wanapoteuliwa kushika nafasi.

Kundi la pili ni wanachama,wafuasi na mashabiki wa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA. Ni kawaida kisiasa chama pinzani kukosoa. Mwanzo walipata nafuu na kufarijika, hasa kutokana na madhira waliyopata kipindi cha awamu ya tano. Wakafurahia kifo cha hayati JPM. Wakamfurahia Mama Samia. Hotuba zake za mwanzo ziliungwa mkono. Wakataka kushurutisha ajenda zao! Katiba ikiwa kuu. Lakini kiustaarabu wakajibiwa kwamba katiba itasubiri. Hawakuwahi tayari kukubali wakaanza harakati. Mama Samia pengine akaona kama dharau! Mwenyekiti wao Mbowe akakamatwa. Hapo chuki dhidi ya Rais ikaibuka ghafla! Kila alilolifanya wanalikosoa. Wengi ni ndugu zetu wa......!

Kundi la tatu ni sababu tu ya tofauti ya kile wanachoamini...!
Kundi la tatu Ni wale wenye mentality za udini,wanatamani daima aongoze mkristo, Hawa Ni wachache katika wengi
 
Back
Top Bottom