Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

Mtu kukosolewa haimaanishi hapendwi, zaidi sana katika taifa linalojiita la kidemokrasia.
Sawa lakini tumkosoe kwa staha jamani. Haiwezekana kumtukana, maana majina yake mnayageuza. Fikiria angekuwa Mama yako mzazi ungefanya hivyo? Tuache wivu, tumumpende na kumheshimu Mama Samia.
 

Rais halali…. Haramu anakuwaje; anatambulika vipi?
 
Niwaulize nyie mnaoanza na mungu na kumaliza na mungu ni mungu yupi huyo anayewaacha mlielie kila siku. Au ni yule mungu wenu wa faragha za jinsia moja?

Mungu aliye hai hashindwagi

Unapoteza hadhi ya ulokole, ujue.
 
Kwani nani anaepinga kwamba sio rais wetu ,? akosolewe pale asipofanya vizuri na apongezwe pale anapofanya vizuri, ila sio sifia sifia kila kitu , sawa MAMA D

Point ya maana hii. Lakini nakuongezea ushauri.

Itakuwa heri kwako ukizifahamu “mindset” za baadhi ya wadau ili usipate tabu nyingi kujibizana nao. Kwa wengine hapa, Rais wa nchi ni juu ya yote. Maamuzi yake, maagizo yake na mawazo yake yanatakiwa kukubaliwa, kuheshimiwa, na kutekelezwa bila kuhojiwa. Lazima Rais apewe “unqualified support”. In short, the President is always right.

Hapo hakuna mjadala.
 

Hata katika chanjo ya Covid-19 umekubaliana naye?
 
Hiko kichwa chako unatumia kufikiri au kufugia nywele ?
Mpaka muda huu huelewei hii ni nchi inayoundwa na Waislamu, Wakristo, Wachawi, Wapagani, Wahindu, Mabohora, Wabudha n.k na hivyo huwezi kutumia kitabu cha dini yako kujenga hoja kama hii?!
Ulishawahi soma yaliyowakuta watu wa Yeriko?
Ndio yanayowa
 
Kwani nani anaepinga kwamba sio rais wetu ,? akosolewe pale asipofanya vizuri na apongezwe pale anapofanya vizuri, ila sio sifia sifia kila kitu , sawa MAMA D
Yes, she is a president in accordance with the constitution, but she must behave differently and decide independently in favour of the Tanzanians and a few tycoons with the economic muscular and political influence of the past era.
 
Hawa watu ndio wanaodumaza mfumo wa vyama vingi tanzania
Hapo juu unaleta mahubiri, hapa chini unacomment unafiki! kwamba hao ndio wanabambikia upinzani kesi? ndio wanaowapiga risasi wapinzani? ndio wanaowafunga wafuasi wao? ndio wanaozuia mikutano ya hadhara ya wapinzani? ndio waliokuwa wanawapora form za uchaguzi 2020? Kwamba hao CDM kwenye hiyo katuni ndio wanadumaza mfumo wa vyama vingi??????
 
Samia Alisema hadharani Mbeya wananchi hata wakiwapigia wapinzani kura CCM itaunda serikali. Huo uhallali wake unautoa wapi? Labda Kama uhalali wa Serikali ya kuzimu.Au unadhani sisi watanzania ni wajinga?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Naona umeanza kuwageuka chato gang taratibu.

Vizuri sana!
 
Copy kabisa ya jiwe
 
Mama D,Mama J,Mama G........

Nikiona hayo majina nashtuka!Sijui kwanini?
 

Waache wahangaike na maneno ila huyo ndio Rais na hamna kitu wanawezamfanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…