Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

Mtu kukosolewa haimaanishi hapendwi, zaidi sana katika taifa linalojiita la kidemokrasia.
Sawa lakini tumkosoe kwa staha jamani. Haiwezekana kumtukana, maana majina yake mnayageuza. Fikiria angekuwa Mama yako mzazi ungefanya hivyo? Tuache wivu, tumumpende na kumheshimu Mama Samia.
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Rais halali…. Haramu anakuwaje; anatambulika vipi?
 
Niwaulize nyie mnaoanza na mungu na kumaliza na mungu ni mungu yupi huyo anayewaacha mlielie kila siku. Au ni yule mungu wenu wa faragha za jinsia moja?

Mungu aliye hai hashindwagi

Unapoteza hadhi ya ulokole, ujue.
 
Kwani nani anaepinga kwamba sio rais wetu ,? akosolewe pale asipofanya vizuri na apongezwe pale anapofanya vizuri, ila sio sifia sifia kila kitu , sawa MAMA D

Point ya maana hii. Lakini nakuongezea ushauri.

Itakuwa heri kwako ukizifahamu “mindset” za baadhi ya wadau ili usipate tabu nyingi kujibizana nao. Kwa wengine hapa, Rais wa nchi ni juu ya yote. Maamuzi yake, maagizo yake na mawazo yake yanatakiwa kukubaliwa, kuheshimiwa, na kutekelezwa bila kuhojiwa. Lazima Rais apewe “unqualified support”. In short, the President is always right.

Hapo hakuna mjadala.
 
Tushirikiane jamani tumpende Mama, mbona yupo poa tu. Mimi naona ni rais jasiri sana tena sana. Kwanza ameweza kuendana na kasi ya maendeleo ya nchi ndani ya muda mfupi pamoja na kuomboleza. Nakuomba mdau tumia ushawishi wako watu wamkubali Mama. Inaumiza sana mnapokuwa na chuki na mtu ilhali hajawakosea.

Hata katika chanjo ya Covid-19 umekubaliana naye?
 
Hiko kichwa chako unatumia kufikiri au kufugia nywele ?
Mpaka muda huu huelewei hii ni nchi inayoundwa na Waislamu, Wakristo, Wachawi, Wapagani, Wahindu, Mabohora, Wabudha n.k na hivyo huwezi kutumia kitabu cha dini yako kujenga hoja kama hii?!
Ulishawahi soma yaliyowakuta watu wa Yeriko?
Ndio yanayowa
 
Kwani nani anaepinga kwamba sio rais wetu ,? akosolewe pale asipofanya vizuri na apongezwe pale anapofanya vizuri, ila sio sifia sifia kila kitu , sawa MAMA D
Yes, she is a president in accordance with the constitution, but she must behave differently and decide independently in favour of the Tanzanians and a few tycoons with the economic muscular and political influence of the past era.
 
Hawa watu ndio wanaodumaza mfumo wa vyama vingi tanzania
Hapo juu unaleta mahubiri, hapa chini unacomment unafiki! kwamba hao ndio wanabambikia upinzani kesi? ndio wanaowapiga risasi wapinzani? ndio wanaowafunga wafuasi wao? ndio wanaozuia mikutano ya hadhara ya wapinzani? ndio waliokuwa wanawapora form za uchaguzi 2020? Kwamba hao CDM kwenye hiyo katuni ndio wanadumaza mfumo wa vyama vingi??????
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Samia Alisema hadharani Mbeya wananchi hata wakiwapigia wapinzani kura CCM itaunda serikali. Huo uhallali wake unautoa wapi? Labda Kama uhalali wa Serikali ya kuzimu.Au unadhani sisi watanzania ni wajinga?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.

Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni

Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Naona umeanza kuwageuka chato gang taratibu.

Vizuri sana!
 
Copy kabisa ya jiwe
Screenshot_20211001-104227_Twitter.jpeg
 
Mama D,Mama J,Mama G........

Nikiona hayo majina nashtuka!Sijui kwanini?
 
mama D kama kuna mtanzania anamdharau rais basi huyo atakuwa na upungufu wa akili kichwani. Rais ni mamlaka, rais ndiye kila kitu kwa nchi. Hivi unapata wapi akili ya kumdharau au kumdhihaki? Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpinga??? Nashani kama kuna watu wanampinga Mama waache. Tuungane juijenga Tanzania.

Waache wahangaike na maneno ila huyo ndio Rais na hamna kitu wanawezamfanya
 
Back
Top Bottom