Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

Za jumapili mama d
Wenye akili wanalalamikia mifumo nasio rais wako
 
Mpango wa Mungu au mpango wa shetwani? Kwani aliyemuambia aidharau covid 19 ni nani?
 
Mpango wa Mungu au mpango wa shetwani? Kwani aliyemuambia aidharau covid 19 ni nani?

Maskini weeee. Nimekuhurumia sana kwa hii comment yako

Polee
 
Binafsi Niko na mama hata leo uniambie huko ccm nani anafaa zaidi yake sijamuona hadi mda huu.
 
Nipo na mama la mama, iwe jua ama mvua, kivulini ama juani. Mh. Mama Samia apewe muda mambo yatakuwa mazuri tu, sababu ameonyesha Nia na njia. Kwa kipindi hiki kifupi amefanya Mengi makubwa tu, sema hapendi masifasifa, sio mtu wa makelele Mengi. Wananchi wenzangu haiwezekani kila kitu kiwe sawa kwa wakati mmoja, tumpe muda Raisi wetu, for sure Tanzania inaenda kuwa ya Neema. Tumwombe Raisi wetu. Sisi wanaume waTanzania, tumuombee mama, tumuunge mkono, na sie wanaume tuache kabisa mfumo dume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…