kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Za jumapili mama d
Wenye akili wanalalamikia mifumo nasio rais wako

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake.
Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati Magufuli na sasa wanalalamika bado kwa Rais Samia na watalalamika tu hata ashushwe malaika toka mbinguni
Ila kabla ya kujibebesha laana kwa kumtukana, kumkejeli, kumdharau na kumkosoa kwa lugha za kuudhi rais wako ni bora umpe ushauri kwa busara na umuombee sana kwani yeye anachokiona kama kiongozi wa nchi inawezekana wewe ukawa unaona tofauti kabisa
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote