Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

safari hii ICC mmeitafuta wenyeeewe kwa lazima haijalishi ni umeolewa unampikia vizuri ICC inakuhusu tu.
mwenzenu analia kuibiwa na dola yote ipo mikononi mwake. na nyie iandaeni
 
safari hii ICC mmeitafuta wenyeeewe kwa lazima haijalishi ni umeolewa unampikia vizuri ICC inakuhusu tu.
mwenzenu analia kuibiwa na dola yote ipo mikononi mwake. na nyie iandaeni
Hata 2015 kuna watu walienda ICC, ila hakuna hata picha walizopost kwenye mtandao wakifungua kesi. Maamdamano yenyewe yamefeli. Ukweli ni kama alivyosema Mheshimiwa Samia, CCM ndio inakwenda kuunda serikali.
 
huu upuuzi wenu ndio utakaowalipa na msilaumu wala msiombe kusamehewa mikisingizia eti mlikuwa hamjui.. shwainnnn
 
huu upuuzi wenu ndio utakaowalipa na msilaumu wala msiombe kusamehewa mikisingizia eti mlikuwa hamjui.. shwainnnn
Hiyo post ina uhusiano gani na uchaguzi mkuu wa Tanzania ?
 
Samia Suluhu alisema tusipoteze kura zetu maana hata tukichagua upinzani wao ndiyo wataunda serikali. Daaah wanyonge tuna tabu sana nchi hii....tutakimbilia wapi?
 
Kwa kauli ile, naye huyu Mama nikamwona ni wale wale. Ni wale ambao tunafanana nao kwa mwili lakini ndani yao, shetani ameweka makazi.
 
Kwa kauli ile, naye huyu Mama nikamwona ni wale wale. Ni wale ambao tunafanana nao kwa mwili lakini ndani yao, shetani ameweka makazi.

Sio yeye bali ni ile kauli inayosema; "mtumikie Kafiri upate mradi wako."
 
Wanasaccos wa Chadema wameshachanganyikiwa wameshaona ndiyo atawavusha!! Hahahahaha.
 
Bado sio muda sahihi wa kuanza kuwa na matumaini na huyu mama, tujipe muda safari bado ndefu
 
Hapa Kabla hajaitwa MAMA , alikuwa tu Makamu wa Rais ya JMT , Yaani Namba 2 kimadaraka.

Nimeupandisha tu huu uzi tuweke kumbukumbu sawa.
 
Dooh!

Kama ukoloni tu..

Kura za wananchi hata ziwe nyingi hazina uwezo wa kuwafurusha hawa ccm🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…