Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Acha kuonyesha upopoma wako humu JF, umejifunua ulivyo huna shule kichwani!

Kiingereza cha wapi umeandika hiki wewe ccm? Halafu unatarajia umpende mtu msomi kama Lissu!? Aibu kuu!
 
Ukweli mchungu Ila inabidi ukubalike tu, hata kama sio Sasa, hata baadae itapendeza.
 
Upe mtando huu heshima take tafadhali ,sema mtandao pendwa zaidi ,Tanzania,Africa. Na karibia na duniani.
 
Huu ni ukweli hata wewe ndani ya nafsi yako unaujua

Hata Lissu Mwenyewe anajua JPM ndio Mshindi kinavchosubiriwa ni kiwango tu cha ushindi kama ataweza vunja record ya Jakaya ya ASILIMIA 82 MWAKA 2005

Lisu hata akipata 30% ni salamu kubwa sana

Na nakuhakikishia kuwa jpm lazima atabadilika
 
She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Andika kwa Kiswahili tu dada, utaeleweka vyema zaidi.
 
Hilo halipo mwaka huu, wizi wowote utakabiliwa kwa nguvu nyingi sana. Huyo Magu ana roho mbaya mno sio mtu wa kubadilika, kwa hiyo ni lazima astaafishwe mwezi huu atake asitake.

Pazia kumzuia mwenye nyumba asiingie chumbani, masihara haya jamani.
 

Ccm Mnapokwenda Kwa Waajiri Ambao Ni Wananchi Toeni Maneno Matamutamu Yanayoonyesha Unyenyekevu,
Acheni Kuwatisha Wananchi

Vyama Vingi Vilivyoanzishwa Kwa Mujibu Wa Sheria 1992
Ikiwa Hamvitaki Nendeni Bungeni Mkabadili Sheria Ibaki Ccm Tu [/I]

Hiyo ndiyo point.
 

Kiingereza cha hivi huwa kinapatikana kwa walevi wa kwenye pombe mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…