Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

'… Kwa upande wetu uchaguzi unaanzia wakati wa kuhesabu kura na unamalizikia wakati wa kutangaza matokeo…' Kinana kwny Mkutano Mkuu wa kumpitisha JPM
Kabisa Mkuu, hatua hizo zikidhibitiwa na CDM ipasavyo CCM bye bye.
 
Hizo wanazungumzia upande wao,wanoogopa hata kuufanyia tathimini upande wapili.
Utafanyaje tathmini ya upande wa pili wakati hawana hata mkakati wa kutekeleza hayo wanayoyasema. CCM wamejipanga wanafahamu wanahitaji kiasi gani cha pesa pamoja na utekelezaji wa mipango yake. Waulize chama cha ukoo kama wana mpango wowote?
 
Sasa, sasa tutawaonyesha kazi kuwa sisi wananchi hatupendi kupangiwa, bloodfool.
 
Hakika Chama cha Mapinduzi, kimejipanga maradufu kuhakikisha ushindi unapatikana,kwa uwezo wa Mungu oktoba 28 mapema tu CCM inatangaza ushindi
 
Funguka tu Mkuu nilimchukia huyo Mama tangu Bunge la Katiba. Hovyo sana huyo mama.
Hana uwezo huo na wala hatakuja kuwa nao , ni vema mama akajiheshimu ili tusije kufunguka mazito akajificha milele kwa aibu
 
Duh...
Kuna nini lakini
She shouldn't have said that line..
Kauli hii kama wanajua wataunda serikali kwanini wafanye kampeni,
Alafu hayo maendeleo yanayo yanayozungumzwa kwa zaid ya miaka 60 na CCM hii hii ni yapi.
Ni kauli za kukata tamaa na kujipa moyo kuwa wanaweza kufanya chochote.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Duh...
Kuna nini lakini
She shouldn't have said that line..
Kauli hii kama wanajua wataunda serikali kwanini wafanye kampeni,
Alafu hayo maendeleo yanayo yanayozungumzwa kwa zaid ya miaka 60 na CCM hii hii ni yapi.
CCM ipi hiyo iliyotawala miaka 60? Wacha uzushi! Ole wako uendeleze propaganda.
 
You mean the English I have used in my sentences isn't up to a par? Then would you please tell me where the problem is, so I could perhaps make the needed corrections? Thanks for your cooperation!
Worry u shouldn't Jane. You are eloquent and have such an impeccable tongue touching english everyone would like to have.

You deserve "thumb up".
 
Nini mantiki ya yeye kuzurura mikoani ili kupiga kampeni kama anajua mshindi atapatikana bila kupigiwa kura?
Kwanini asitulie tu nyumbani kwake ili muwewe ampe haki yake ya unyumba?

Halafu utashangaa kuna wanaCCM watajitokeza kwenda kupiga kura.
 
Mwache aandike atafahamu muda unavyokwenda, Kwa mimi usiniguse niko level nyingine kabisa kwa lugha hiyo. Lazima wapewe moyo wanao kuza lugha wasio ijua.
Ebu acha vitisho wewe, usiguswe we nani ?; labda kama umezaliwa na kukulia au kuishi kwa mda mrefu kati ya Wingereza, Marekani, Canada au Australia, kinyume na hapo usijitape hapa kwasababu nina uhakika kingereza chako ni cha kawaida kama hujazaliwa na kukulia kwenye hizo nchi au kuishi kwa kipindi kirefu. Kwahio tulia kama unanyolewa vile.
 
Back
Top Bottom