Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Sio kwa kura boss, hilo taka usitake.
Matokea yakitoka tukutane Ufipa, mwenzio huwa sikimbii hata matokeo ya kiwa kinyume au kuna tofauti za ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa kura boss, hilo taka usitake.
Kuna watu wanajiandaa kuhama nchi. Safi sana.
Kabisa Mkuu, hatua hizo zikidhibitiwa na CDM ipasavyo CCM bye bye.'… Kwa upande wetu uchaguzi unaanzia wakati wa kuhesabu kura na unamalizikia wakati wa kutangaza matokeo…' Kinana kwny Mkutano Mkuu wa kumpitisha JPM
Matokeo yakitoka utakutana na misukule tu pale.Matokea yakitoka tukutane Ufipa, mwenzio huwa sikimbii hata matokeo ya kiwa kinyume au kuna tofauti za ndani.
Utafanyaje tathmini ya upande wa pili wakati hawana hata mkakati wa kutekeleza hayo wanayoyasema. CCM wamejipanga wanafahamu wanahitaji kiasi gani cha pesa pamoja na utekelezaji wa mipango yake. Waulize chama cha ukoo kama wana mpango wowote?Hizo wanazungumzia upande wao,wanoogopa hata kuufanyia tathimini upande wapili.
Achia kbs muda ndo huuHana uwezo huo na wala hatakuja kuwa nao , ni vema mama akajiheshimu ili tusije kufunguka mazito akajificha milele kwa aibu
Kuna watu wanafikiri Serikali inaongozwa kama mtandao aibu!
Hana uwezo huo na wala hatakuja kuwa nao , ni vema mama akajiheshimu ili tusije kufunguka mazito akajificha milele kwa aibu
Matokea yakitoka tukutane Ufipa, mwenzio huwa sikimbii hata matokeo ya kiwa kinyume au kuna tofauti za ndani.
Ni kauli za kukata tamaa na kujipa moyo kuwa wanaweza kufanya chochote.Duh...
Kuna nini lakini
She shouldn't have said that line..
Kauli hii kama wanajua wataunda serikali kwanini wafanye kampeni,
Alafu hayo maendeleo yanayo yanayozungumzwa kwa zaid ya miaka 60 na CCM hii hii ni yapi.
I think you are dreaming.Sio kwa kura boss, hilo taka usitake.
I think you are dreaming.
CCM ipi hiyo iliyotawala miaka 60? Wacha uzushi! Ole wako uendeleze propaganda.Duh...
Kuna nini lakini
She shouldn't have said that line..
Kauli hii kama wanajua wataunda serikali kwanini wafanye kampeni,
Alafu hayo maendeleo yanayo yanayozungumzwa kwa zaid ya miaka 60 na CCM hii hii ni yapi.
Worry u shouldn't Jane. You are eloquent and have such an impeccable tongue touching english everyone would like to have.You mean the English I have used in my sentences isn't up to a par? Then would you please tell me where the problem is, so I could perhaps make the needed corrections? Thanks for your cooperation!
Ndo umeandika kiingereza cha wapi hikiShe has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Ebu acha vitisho wewe, usiguswe we nani ?; labda kama umezaliwa na kukulia au kuishi kwa mda mrefu kati ya Wingereza, Marekani, Canada au Australia, kinyume na hapo usijitape hapa kwasababu nina uhakika kingereza chako ni cha kawaida kama hujazaliwa na kukulia kwenye hizo nchi au kuishi kwa kipindi kirefu. Kwahio tulia kama unanyolewa vile.Mwache aandike atafahamu muda unavyokwenda, Kwa mimi usiniguse niko level nyingine kabisa kwa lugha hiyo. Lazima wapewe moyo wanao kuza lugha wasio ijua.