othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Wameshasoma upepo kauli kama hizo huwa haziji hivihivi tu, the last kick of a dying horse.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuonyesha upopoma wako humu JF, umejifunua ulivyo huna shule kichwani!She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Upe mtando huu heshima take tafadhali ,sema mtandao pendwa zaidi ,Tanzania,Africa. Na karibia na duniani.🤣🤣🤣 Kuna watu huwa mnajifanya kuwajua sana watu zaidi ya wanavyojifahamu wao wenyewe.Kwahiyo wewe nae ni wakutoa vitisho kama hivyo?
Sidhani kama unayo hiyo nguvu ya kufanya hivyo, na kama unayo hauna haja ya kusemea huku kwenye fake ID's na penye watu wachache.Nenda kayaseme hayo unayotaka kuyasema kwenye mitandao mikubwa. Amini kwamba wewe ni mtu ambae uko uchi Sana mbele ya serikali.
NB:Ngoja nikucheke kidogo 🤣🤣🤣🤣🤣.
Hata mimi nataka waibe.Wameshajua kwenye sanduku la kura hawapati kitu so walichobakiwa nacho ni kuiba kura tu.
Huu ni ukweli hata wewe ndani ya nafsi yako unaujua
Hata Lissu Mwenyewe anajua JPM ndio Mshindi kinavchosubiriwa ni kiwango tu cha ushindi kama ataweza vunja record ya Jakaya ya ASILIMIA 82 MWAKA 2005
Andika kiswahili tu binti, hii lugha ya wenyewe huiwezi na unatumia aibu kama Rais wako MagufuliShe has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
So which part of the construction you exactly have found faulty?
Hilo halipo mwaka huu, wizi wowote utakabiliwa kwa nguvu nyingi sana. Huyo Magu ana roho mbaya mno sio mtu wa kubadilika, kwa hiyo ni lazima astaafishwe mwezi huu atake asitake.Lisu hata akipata 30% ni salamu kubwa sana
Na nakuhakikishia kuwa jpm lazima atabadilika
Andika kwa Kiswahili tu dada, utaeleweka vyema zaidi.She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Leo amefika 30% mwanzo mlianza na 20%, twende kaziLisu hata akipata 30% ni salamu kubwa sana
Na nakuhakikishia kuwa jpm lazima atabadilika
Hilo halipo mwaka huu, wizi wowote utakabiliwa kwa nguvu nyingi sana. Huyo Magu ana roho mbaya mno sio mtu wa kubadilika, kwa hiyo ni lazima astaafishwe mwezi huu atake asitake.
Mkuu, huyu hata kiswahili hajui labda kilugha.Ungeandika Kiswahili tu.
Ccm Mnapokwenda Kwa Waajiri Ambao Ni Wananchi Toeni Maneno Matamutamu Yanayoonyesha Unyenyekevu,
Acheni Kuwatisha Wananchi
Vyama Vingi Vilivyoanzishwa Kwa Mujibu Wa Sheria 1992
Ikiwa Hamvitaki Nendeni Bungeni Mkabadili Sheria Ibaki Ccm Tu [/I]
She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Hizo wanazungumzia upande wao,wanoogopa hata kuufanyia tathimini upande wapili.Leo amefika 30% mwanzo mlianza na 20%, twende kazi
Nothing, just we are in the campaign trail. Everyone has to fight for their side, and when they speak, the other side will always find offended. But in the end, its politics. After the election is over, you'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much.