Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Hilo halipo mwaka huu, wizi wowote utakabiliwa kwa nguvu nyingi sana. Huyo Magu ana roho mbaya mno sio mtu wa kubadilika, kwa hiyo ni lazima astaafishwe mwezi huu atake asitake.
Nimeipenda hii, kama tukijitambua tunaweza kujiletea maendeleo. Ni aibu sana kumchagua mtu kwa kura alafu anakuja kukufanya wewe uliyemchagua ni mjinga. Kukataa kuonekana sisi ni wajinga ni kuwakataa na kulida kura zetu kwa nguvu zote. Hii ndiyo changamoto tuliyonayo, kufanya kazi ya ziada kupiga kura za ushindi na kuzilinda kwa faida yetu na ya kizazi kijacho. Tusidanganyike, ccm ni ileile, hawana jipya na walishakata pumzi,
 

Gerald ww unaishi ili ule na sio zaidi ya hapo. Hivi huo wizi unadhani ni kitu kinachohitaji elimu kubwa kuuona?
 
'… Kwa upande wetu uchaguzi unaanzia wakati wa kuhesabu kura na unamalizikia wakati wa kutangaza matokeo…' Kinana kwny Mkutano Mkuu wa kumpitisha JPM
Duuh! Kauli hatarishi hii
 
Kauli za kukata tamaa na kujipa moyo papo hapo.
 
Pumzikeni msifanye kampeni mmeshashida.pua ondoeni na mabango ya kampeni kila kona kupunguza gharama
 
Huyu mama mpole nae anakuwa na kauli za kijinga kijinga hv ,kwel maccm yameshajiamin mno na yanamadharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…