Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Nothing, just we are in the campaign trail. Everyone has to fight for their side, and when they speak, the other side will always find offended. But in the end, its politics. After the election is over, you'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much.
After the election is over, you 'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much. .....
 
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.

Kwahiyo hapa anaongea kinyume na Boss wake pale alipowaambia watu kuwa watajuta kama wasipomchagua mbunge wa CCM (Silinde).

Haya ndiyo maajabu ya CCM!!, hawa kweli tuwakabidhi nchi tena kwa miaka mingine mitano ???!!🙉🙉🙉
 
Huu ni ukweli hata wewe ndani ya nafsi yako unaujua

Hata Lissu Mwenyewe anajua JPM ndio Mshindi kinavchosubiriwa ni kiwango tu cha ushindi kama ataweza vunja record ya Jakaya ya ASILIMIA 82 MWAKA 2005
Kapigiwa kura na Nani,ilhali siku ya hukumu yake,itakayo mpumzisha ni Oct 28
 
Kwahiyo hapa anaongea kinyume na Boss wake pale alipowaambia watu kuwa watajuta kama wasipomchagua mbunge wa CCM (Silinde).

Haya ndiyo maajabu ya CCM!!, hawa kweli tuwakabidhi nchi tena kwa miaka mingine mitano ???!!🙉🙉🙉
Nafananisha na ile maendeleo hayana Yana chama.
 
Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
Yamewafika Hapa!!! Ccm Mnapokwenda Kwa Waajiri Ambao Ni Wananchi Toeni Maneno Matamutamu
Yanayoonyesha Unyenyekevu, Acheni Kuwatisha Wananchi

Vyama Vingi Vilivyoanzishwa Kwa Mujibu Wa Sheria 1992
Ikiwa Hamvitaki Nendeni Bungeni Mkabadili Sheria Ibaki Ccm Tu
 
View attachment 1601260

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.

Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa VIktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.

Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.

Tuukatae wizi huu wa uchaguzi. Yawezekana tunabakiwa na muda mfupi wa kuishi.

But a short time to live.

Yote kheri!
 
Makamu wa Rais huna cha kupoteza, utalipwa mshahara 80% mpaka unakufa. Lakini ujue watanzania hawatawarudisha na mwenzio. Ulikuwa mama wa kupigiwa mfano, umekaa karibu na jiwe umekuwa mgumu!
Keshapoteza sifa huyo.
 
Hana uwezo huo na wala hatakuja kuwa nao , ni vema mama akajiheshimu ili tusije kufunguka mazito akajificha milele kwa aibu
🤣🤣🤣 Kuna watu huwa mnajifanya kuwajua sana watu zaidi ya wanavyojifahamu wao wenyewe.Kwahiyo wewe nae ni wakutoa vitisho kama hivyo?

Sidhani kama unayo hiyo nguvu ya kufanya hivyo, na kama unayo hauna haja ya kusemea huku kwenye fake ID's na penye watu wachache.Nenda kayaseme hayo unayotaka kuyasema kwenye mitandao mikubwa. Amini kwamba wewe ni mtu ambae uko uchi Sana mbele ya serikali.

NB:Ngoja nikucheke kidogo 🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom