Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 387
- 485
Hata muundo wa hii sentensi hapa haujakaa sawa, mbona unapuyanga hivi??So which part of the construction you exactly have found faulty?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata muundo wa hii sentensi hapa haujakaa sawa, mbona unapuyanga hivi??So which part of the construction you exactly have found faulty?
Kwa hiyo wewe ndugu yangu unajivunia na kufurahia dhuluma?Mie napiga jaramba la kuanza kusoma Thread za Makamanda za kudai Tume huru na Katiba Mpya baada ya matokeo kutangazwa
After the election is over, you 'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much. .....Nothing, just we are in the campaign trail. Everyone has to fight for their side, and when they speak, the other side will always find offended. But in the end, its politics. After the election is over, you'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much.
So what's wrong with it?Hata muundo wa hii sentensi hapa haujakaa sawa, mbona unapuyanga hivi??
Kwa hiyo wewe ndugu yangu unajivunia na kufurahia dhuluma?
Duh!!🙄🙄🙄She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Mwenzio magu anajua atoboi we jipe moyo kwa kukalili jana na leo zote sawa
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Kapigiwa kura na Nani,ilhali siku ya hukumu yake,itakayo mpumzisha ni Oct 28Huu ni ukweli hata wewe ndani ya nafsi yako unaujua
Hata Lissu Mwenyewe anajua JPM ndio Mshindi kinavchosubiriwa ni kiwango tu cha ushindi kama ataweza vunja record ya Jakaya ya ASILIMIA 82 MWAKA 2005
Tulia dogo, kwenye ung'eng'e bado hujaiva vizuri. Jitahidi kuongea kiswahili kama Yohana wa chato. Siku ukiiva utaona wapi umekosea kwenye sarufi ya kingereza chako hapo juu.So what's wrong with it?
Wao ccm wanafikiri Lissu ni Kingwendu au BamboTafsiri, hata tusipopata kura zenu tutaiba tu kura na kuunda serikali kwa hila.
Nafananisha na ile maendeleo hayana Yana chama.Kwahiyo hapa anaongea kinyume na Boss wake pale alipowaambia watu kuwa watajuta kama wasipomchagua mbunge wa CCM (Silinde).
Haya ndiyo maajabu ya CCM!!, hawa kweli tuwakabidhi nchi tena kwa miaka mingine mitano ???!!🙉🙉🙉
Walitakiwa kufunguka tu kuhusu wizi wao ili dunia iwasameheHawa jamaa uungwana wao unawatesa hadi leo
View attachment 1601260
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa watashinda vikubwa sana Tanzania, na amefananisha kupigia kura kwa chama kingine kama kitendo cha kumwaga sukari Ziwa VIktoria na kutegemea maji yatakuwa matamu, ambacho ni sawa na kupoteza sukari yako.
Mh. Samia amesisitiza kuwa maendeleo watakayoyaleta sio kwa wana CCM peke yake na wale ambao hawatokipigia Chama Cha Mapinduzi basi kura yao itawasuta pale watakapokuwa wanaletewa maendeleo.
Umejuaje Kama kura hazitatosha wakati Uchaguzi bado?Yaan kura kutokutosha ni dhulma?
Umejuaje Kama kura hazitatosha wakati Uchaguzi bado?
Keshapoteza sifa huyo.Makamu wa Rais huna cha kupoteza, utalipwa mshahara 80% mpaka unakufa. Lakini ujue watanzania hawatawarudisha na mwenzio. Ulikuwa mama wa kupigiwa mfano, umekaa karibu na jiwe umekuwa mgumu!
🤣🤣🤣 Kuna watu huwa mnajifanya kuwajua sana watu zaidi ya wanavyojifahamu wao wenyewe.Kwahiyo wewe nae ni wakutoa vitisho kama hivyo?Hana uwezo huo na wala hatakuja kuwa nao , ni vema mama akajiheshimu ili tusije kufunguka mazito akajificha milele kwa aibu