Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Wewe umesoma pamoja na jiwe ambaye ana Permanent Head Damage(PhD)?? mbona kidhungu chenu nisawa ..It sounds like " No Mothers,No Fathers,No Uncles ..lait Directions ..l want to preach but cant reach you"
 
Kiingeleza cha wapi hiki
Hata miimi nimeshangaa ndiyo mana watu hawa wana hasira mno wakimuona Mh Lissu akikata kidhungu fresh?

Yaani aibu tupu ndiyo mana Lissu anasema Elimu yetu ni batili inatakiwa ifumue upya tuu.Ukumsikiliza Waziri wa elimu kidhungu chake hajali mweee!!!
 
Kutegemea maajabu kwenye sanduku la kufa ni ujinga kama uke wa kutojua kusoma na kuandika. Itakua ngumu zaidi "goli" la mkono kukubalika kioindi hiki wagazamaji wako machooo na refa hataamini akijifinya hajaona.
 
Nothing, just we are in the campaign trail. Everyone has to fight for their side, and when they speak, the other side will always find offended. But in the end, its politics. After the election is over, you'll get surprised to learn that your view of her is essentially not changed much.
Mkuu hujui kingireza, yaani hata mimi nimeishia darasala nne naandika kingereza kizuri sio kama hiki chako.
 
She has spoken very point because you know CCM is not you can't beat it. People a lot love it and they gonna vote for it no matter what
Ila vijana wa ccm najiuliza uwezo na elimu yenu ni ya kiwango kipi. Hivi umeandika hii lugha confidently kabisa hujaona makosa hapo? Aiseee!
 
Naamini kuna Mungu muumba wa vyote na Mungu wa watawala wa CCM tu ndio maana wanakua na kiburi sana. Watu wanatumia mabilioni ya pesa kuhonga na kuweka mabango ,matisheti ,vitisho, wasanii, na misafara na kila aina ya rafu kumbe watashinda kwa namna wanayojua wao.

Sasa pesa zote hizo siwangewajengea watoto wetu wa Kike Shule za mabeni ili wasiteseke kutembea mitaani kila Siku kwenda nyumbani kwa miguu umbali mrefu?

Mungu muumba wa vyote atatenda Muujiza mwaka huu ambao hautasahaulika milele.
 
Nae ameanza kuwa na kauli tata Hv
Huyu mh. Huwa na Busara labda mmemkot Vbaya
 
You mean the English I have used in my sentences isn't up to a par? Then would you please tell me where the problem is, so I could perhaps make the needed corrections? Thanks for your cooperation!
We utakuwa msukuma
 
Huyu Mama anayumba sana. Kwa akili hizi, nafikiri zile tetesi kwamba Jiwe alitaka kumfukuza ni za kweli
 
Back
Top Bottom