Samia Suluhu tumseme kwa mengine sio hili la kutumia watu jini Makata mtoa roho

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa.

Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee.. Mwamwamwamwa..!

Swali ni Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣.

Kwanza jini Makata ukilishika bila kuliamkia au ukiwa na janaba linakunyonya damu unakufa.

Sasa wakuu, mimi haya mambo ya kusema Samia anaweza kutuma jini makata hilo napinga. Kwanza jini makata atalitumaje? Kwa ndege?

Kwani majini yanaheshimu watu waliojipachika Urais hadi ayatume yakubali?

Tumseme kwa mauaji ya 29.10.2025 na kudumaza Miradi ya maendeleoya Tanganyika. Tumshinikize amrudishe Mdude nyagali, Soka, na walio muua Mzee kibao wachukuliwe hatua. Mambo ya kubambikizia watu kesi hasa wapinzani wake wa kisiasa. Haya ndo yanafanya nimuombee mabaya na kutamani naye aonje mauti.

Lakini hili sijui la kutumia majini makata yauwe wanaharakati hana ubavu huo. Mwanamke mwenyewe anaogopa mende, Jini ndo ataligusa. Mnampa ushujaa asiokuwa na uwezo nao.
Your browser is not able to display this video.
 
Jini makata fanya kazi yako
 
Kwamba unabisha?
 
Kweli Miradi ya maendeleo imedumaa na upigaji unaongezeka kila kukicha,
Leo nilikuwa naangalia daraja lililozinduliwa na mkuu wa mkoa wa Iringa,lililogharimu milion 600 unaweza kutoa machozi jinsi pesa za wananchi zinavyochezewa, yaani ni kalabati siyo daraja ambalo hata milion 50 halifiki,
Hii nchi Tuombe Mungu aingilie kati ndipo maendeleo yatapatikana,
 
Mtu aneamini tu mambo ya uchawi uchawi sijui namuonaje

Huo uchawi na majini vingekuepo
Basi angetumiwa yeye

Kwa maisha niliyapitia ,uchawi upo na majini yapo.

Kama hayajakupata Sali sana usije ukaingia majaribuni mm nilikuwa mbishi na mjuaji .

Ukiniambia mambo ya uchawi au majini tunakosana but my friend. Dunia au maisha hayapo kama unavyodhani
 
Kwa maisha niliyapitia ,uchawi upo na majini yapo.

Kama hayajakupata Sali sana usije ukaingia majaribuni mm nilikuwa mbishi na mjuaji .

Ukiniambia mambo ya uchawi au majini tunakosana but my friend. Dunia au maisha hayapo kama unavyodhani
Kuamini uchawi na majini ni upuuzi na ujinga wa kiwango cha juu

Uchawi ni theory ya kipumbavu zaidi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…