Anajua hakuna kitu mnaweza kulifanya.Sijui ni ameamua kutukomoa😁
Ni wazo zuri la kujenga uwanja ili kupanua vipaji mkuuHiyo hela ya kujenga uwanja mpya wa michezo hapo Msoga, ingeelekezwa kuboresha viwanja tulivyonavyo
Tuna viwanja Morogoro, Sheikh Amri Abeid Arusha, Mkwakwani,Dodoma n.k
Vingeboreshwa hivyo, timu zetu za Simba na Yanga zisingekuwa zinagombea kucheza Benjamin Mkapa