Afya ya akili ni janga kwa TaifaMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali yake itajenga uwanja mkubwa wa michezo katika eneo la Msoga, Chalinze, mkoani Pwani iwapo atapata ridhaa ya wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Jumapili, Septemba 28, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Msata, Dkt. Samia amesema ujenzi wa uwanja huo ni sehemu ya heshima na shukrani kwa Rais wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye anatoka katika eneo hilo.
“Hii ni shukrani yetu kwa utumishi wa Rais wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Mengi tumeyapa jina Kikwete lakini sio Msoga, hapa hatukufanya kitu. Kwahiyo uwanja ule tutauweka Msoga kuonesha shukrani yetu,” amesema Dkt. Samia.
Pia Soma: GE2025 - Kikwete: Wabunge wote wa Pwani bunge lijalo watatoka CCM, hatuko tayari kuchanganya pumba na mchele
Really petty as you say! Yaani wewe Mtanzania umpe Samia kura ili ajenge uwanja wa michezo kumtuza Kikwete wakati kuna matatizo makubwa yanayokukabili wewe mwananchi wa chini?Naona aibu mie.Very very petty issues, Kikwete?
kwa hiyo unataka kusema Mama kwatwambia nini Watanzania?...miaka 20 iliyopita so siyo story mpya kwa wafuatiliaji wa mambo.
Mbwana A. Samatta kwao wapi?mpira
😂😂😂😂Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali yake itajenga uwanja mkubwa wa michezo katika eneo la Msoga, Chalinze, mkoani Pwani iwapo atapata ridhaa ya wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Jumapili, Septemba 28, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Msata, Dkt. Samia amesema ujenzi wa uwanja huo ni sehemu ya heshima na shukrani kwa Rais wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye anatoka katika eneo hilo.
“Hii ni shukrani yetu kwa utumishi wa Rais wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Mengi tumeyapa jina Kikwete lakini sio Msoga, hapa hatukufanya kitu. Kwahiyo uwanja ule tutauweka Msoga kuonesha shukrani yetu,” amesema Dkt. Samia.
Pia Soma: GE2025 - Kikwete: Wabunge wote wa Pwani bunge lijalo watatoka CCM, hatuko tayari kuchanganya pumba na mchele
100% true!Akina mwashambwa na TAKATAKA zingine hapo vimesikima vigeregere vyao vinavyoambatana na machozi ya kububujikwa.
Huyu bimkubwa hadhi yake ni udiwani hata ubunge sidhani kama anaweza kuwasemea shida wananchi wake, the way alivyo hata sera zake hazina mvuto kwa wenye akili timamu, hajui hata kudanganya.
Babalevo anaweza mpita akili huyu mtu
Na huo uwanja utamfanya aingie peponi au sioYeah sure, cuz he might be dying soon.