Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ππππ
Anachojua nikikubwaNi kama mama Samia kaacha kuhuburi ilani ya CCM nayeye kaingia kuhubiri maandamano
katishika na maandamano mpaka anaacha kuhubiri ilani ya chama chake, huu mtindo umewashika hata wale wagombea shikizi nao wanahubiri amani kana kwamba nchi haina amani? Wametishika na maandamano hewa! Je wakikutana na maandamano halisi hali itakuaje?Ni kama mama Samia kaacha kuhuburi ilani ya CCM nayeye kaingia kuhubiri maandamano
Ahhaa uhakika mbona.ππ.Mama mitano tenaaaa